Wewe Mtanzania unayetawaliwa kama Mimi unapata picha gani? Mtoto wa Waziri kugonga magari akiwa amelewa chakali, mtoto wa mbunge kufia Swimming pool?

Ni ubinadamu tu.Kila nafsi ina ubora,changamoto na harakati zake.Ukitaka kila mtu awe perfect ni kujidanganya bila malipo.
 
Aliefariki ndani ya swimming pool ni mkenya,familia yake imeomba msaada wa kuurudisha mwili nchini wao hawana pesa au unaongelea yupi aliyefia swimming pool?
 
Kama naomba upunguZe rangi ya maandishi yananiumiza macho Mimi hapa sifi Leo popote ulipo babangu kubabako
 
Inatakiwa na wewe upambane ili watoto wako waishi maisha mazuri wasije kukulaumu kama wewe unavyowalaumu wazazi wako
 
Hivi viongozi wa bongo ni wasomi? hasa hao wabunge ?
 
Halafu wakati huo huo mwananchi wa kawaida unaongezewa kodi na tozo za kila aina!!
 
Aliefariki ndani ya swimming pool ni mkenya,familia yake imeomba msaada wa kuurudisha mwili nchini wao hawana pesa au unaongelea yupi aliyefia swimming pool?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…