Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?

wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel πŸ˜‚

Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.

Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.

Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
 
Kuoa ni kubeti.
 
siku hizi mnachukuana kama ccm wanavopeana uteuzi ndio kosa lenu
 
kweli huyo awezi kuolewa, ila hawa wanaotongozana hovyo huko makazini hata mwezi amalizi ameshaliwa kichwa!
 
😁😁😁
 
kweli huyo awezi kuolewa, ila hawa wanaotongozana hovyo huko makazini hata mwezi amalizi ameshaliwa kichwa!
Dk sifuri wee unadhani!

Mwanamke aliyesoma hata ukimficha VP yupo ladhi aliwe na jamaa mnae fanya nae kazi Ili aambiwe tu mnalipwa ngapi.

Wacha sisi wafangie mabanda ya kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…