Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Ukicheza chini ya kiwango kwenye kufanya usajili, tegemea timu kushuka daraja muda wowote, ...saivi jamaa ako yupo kwenye kucheza playoffs na siioni hiyo timu yake ikibaki premier league
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama hana shidaHata mama yako mzazi usimwamini kiufupi usimwamini mtu yeyote
Kuoa ni kubeti.Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?
wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel 😂
Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.
Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.
Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
Haha mwanamke huwa ha mess na mwanaume ambae anajua ana maamuzi magumu. Lazima kuwe na fear factor or else akiluzoea anakufanyia vitukoWanawake ukilegeza kidogo wanakushangaza
Utajuaje kama umepatia kuoa!!?KOSA SIO UKRISTO WALA DINI KOSA NI KUKOSEA KUOA
siku hizi mnachukuana kama ccm wanavopeana uteuzi ndio kosa lenuUtajuaje kama umepatia kuoa!!?
Kuna mtu hapa nipo nae alikua anatia huruma wewe Hadi nikamfundisha kujiamini nikamjengea life na watoto kazaa lakini baada ya kuona yamekaa sawa aiseh hataki watu wa pande wetu wakae hapa anataka mimi you na dharau za kutosha!!!
Utajuaje umepatia kuoa!!?
Huyo uliemchukua Kwa uchunguzi wa ukoo,historian na muda utajuaje kama hatobadilika!!?siku hizi mnachukuana kama ccm wanavopeana uteuzi ndio kosa lenu
NYAMA YA NGURUWE NI TOFAUTI NA NYAMA YA MBUZI AU MBWAHuyo uliemchukua Kwa uchunguzi wa ukoo,historian na muda utajuaje kama hatobadilika!!?
Binadamu akishayapatia maisha TU ndio tabia yake halisi utaiona!
kweli huyo awezi kuolewa, ila hawa wanaotongozana hovyo huko makazini hata mwezi amalizi ameshaliwa kichwa!Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu na kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?
wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel 😂
Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.
Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.
Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
😁😁😁Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu na kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?
wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel 😂
Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.
Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.
Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
Dk sifuri wee unadhani!kweli huyo awezi kuolewa, ila hawa wanaotongozana hovyo huko makazini hata mwezi amalizi ameshaliwa kichwa!
Unapenda msomi wakati we mwenyewe kichwani ni zero watakukomesha.Dk sifuri wee unadhani!
Mwanamke aliyesoma hata ukimficha VP yupo ladhi aliwe na jamaa mnae fanya nae kazi Ili aambiwe tu mnalipwa ngapi.
Wacha sisi wafangie mabanda ya kuku
Wasomi ni wakuwazalisha tu unapita hivi. Kama unataka ulie kama jamaa hyoo utalia sana. Wanajiona Kila Sheria ya kuwarinda wanayoUnapenda msomi wakati we mwenyewe kichwani ni zero watakukomesha.
Wanawake ni wajanja sana