Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?

wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel 😂

Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.

Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.

Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
 
Kuoa ni kubeti.
 
Utajuaje kama umepatia kuoa!!?
Kuna mtu hapa nipo nae alikua anatia huruma wewe Hadi nikamfundisha kujiamini nikamjengea life na watoto kazaa lakini baada ya kuona yamekaa sawa aiseh hataki watu wa pande wetu wakae hapa anataka mimi you na dharau za kutosha!!!

Utajuaje umepatia kuoa!!?
siku hizi mnachukuana kama ccm wanavopeana uteuzi ndio kosa lenu
 
Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu na kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?

wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel 😂

Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.

Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.

Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
kweli huyo awezi kuolewa, ila hawa wanaotongozana hovyo huko makazini hata mwezi amalizi ameshaliwa kichwa!
 
😁😁😁
 
Dk sifuri wee unadhani!

Mwanamke aliyesoma hata ukimficha VP yupo ladhi aliwe na jamaa mnae fanya nae kazi Ili aambiwe tu mnalipwa ngapi.

Wacha sisi wafangie mabanda ya kuku
 
Back
Top Bottom