Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme?

Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme?

Kuna uzi fulani kipindi kile Bashite ametishia kukamata mashoga basi nikawa kama nawatetea na jamaa alikua anachangia humo so nahisi alifikiri kuwa natetea kwasababu na mimi ni mmoja wao. Sijawahi kuiona ile ID nahisi ilibadili jina.
Alikutumia picha???mashoga wapo FB inakuwaje JF??
 
Mwanamke wa JF akufuate "PM KABISA" akihitaji mtongozo.
Hiyo ni ngumu mkuu!
Ngoja nitafute hela huenda nikala hata watoto wao!
Wao kwangu wamekuwa "Matawi".
 
Mim nilitongozwa na manzi wa kichaga nkazani masikhara ,kesho ake akanivutia waya sikupokea simu kama Mara tano ivi akamaind akawaanauliza kwanini cpokei simu wakati Jana nmekubali proposal?

Sikumjibu chochote kesho ake akaniambia pita geto uje unywe chai maana mtori ulibaki mwingi. Aisee kilichotokea ni hataree kwa afya.

Manka anavunja kiuno balaa
 
Aliniandikia barua na ililetwa na mdogo wake ndo ilikuwa nipo ktk barehe but sikuwahi kumjibu ila barua nilikuwa naisoma mara kadhaa baadae nikaichoma Moto!

Hajawahi kuniuliza ukimya wangu nafikiri ilitosha kuwa jibu kwake! Ila kuna kipindi tulikutana akawa anatoa tumaneno fulani ili aone Kama tutaniumiza but still the same I was cool and down nothing happened!

Sijutii kumkosa..
 
Back
Top Bottom