Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme?

Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme?

Ka
Aliniandikia barua na ililetwa na mdogo wake ndo ilikuwa nipo ktk barehe but sikuwahi kumjibu ila barua nilikuwa naisoma mara kadhaa baadae nikaichoma Moto! Hajawahi kuniuliza ukimya wangu nafikiri ilitosha kuwa jibu kwake! Ila kuna kipindi tulikutana akawa anatoa tumaneno fulani ili aone Kama tutaniumiza but still the same I was cool and down nothing happened!
Sijutii kumkosa..
Kamoyo katakuwa kana jutia ndio maana mpk leo kumbukumbu zake zipo,kipindi cha balehe tuliwakatalia wadada wengi lakini ss tumekua tunajutia yaani sawa na kukosa penalty ya mwisho siku ya fainali.
 
Kama unapesa utatongozwa, kma kimbweta kipo utatongozwa.
Pia, ukiwa unataka papuch utatongoza. Ukitaka kikombe cha asali utatongoza
Ngumu kumujua nani anakutongoza au ni nani unamtongoza hpo ndo kazi ilipo
 
Mimi nina katabia ka kulalamika lakini Naona we Umenizidi Ndugu kila Sehem We uko Mwana mkiwa Aisee [emoji38][emoji38]
Some times pretend tuu kaka Kama something happened kumbe bado
[emoji23]kumbe mnachunguzana humu
 
Sana sana hapa jf wataandika bandiko la kutafuta mume/mwanaume waone options zao.
Japo it takes guts kwa mwanamke kuntongoza mwanaume especially kupitia mitandao.
 
Mwengine alinionyesha deeply signs of her emotions juu yangu.. nilikuwa nafikiri Yale mambo ya mtoto wa kike kukuumia vidole ni kwenye bongo movie tu! But weeeeee it's real alishindwa kuficha hisia zake nikajiongeza grace nakumbuka jina lako..

Mwengine mtoto wa kichaga same her body language was speaking everything to me! Huyu najilaumu kenge Mimi na kupitia yeye nimejifunza mtoto wakike akikupenda anaonyesha signs zipi! But pumbavu sikushtuka kipindi kile I was deeply with aliens👽👽

Mwengine huyu namkumbuka kwa visa vyake sina la kusema ila miguu yangu ilipata kasheshe Sana darasani alihama dawati lake akaja dawati nalokaa mimi na hayupo radhi mtu akae mkabala na Mimi ataomba ama atapenya tu ilimradi akae nami mwalimu yupo darasani lkn yeye alikuwa analeta miguu yake anashikanisha na yakwangu inasuguana weee dah! And she was feeling great!! Mwanamke akipenda huwa kipofu.
 
Du hii corona naona imekupanda kichwani! Mambo gani tena haya unayotaka tukuambie?
Niliwahi Tongozwa miaka zaidi ya 20 iliyopita na mdada nikamkatalia mpk leo hatuongei toka 1997 kwa sababu hiyo .Mpk leo ana watoto wawili tukikutana km hatujuani wakati ni class mate ,ndio maana nikaomba uzoefu wa wahenga.
 
Nikajua tupo kundi moja kumbe jamaa angu hadi unapigwa sound..Hongera!
We are the same but different characters!!
Hiyo ilikuwa zamani kidogo sahivi Kama nimekalia kaa la Moto😂
 
Back
Top Bottom