Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme?

Best advice kiongozi.
 
May you please clarify a little bit on that!

I wish to learn something there on!


Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana waliolelewa na kufundwa heshima nzuri, huwa hawahadithii mambo yao ya faragha waliyofanya na wanawake.

Kwa sababu mambo hayo ni ya faragha.

Kwa sababu wameyafanya katika uwili wao, hayakuwa kwa faida ya jamii kujua kwa kuhadithia mitandaoni.

Kwa sababu kuhadithia ni kujivua nguo mwenyewe.

Kwa sababu kuhadithia kunaweza kumdhalilisha mwanamke.

Kwa sababu kuhadithia kunaweza kuhalalisha na kuchochea ngono zembe.

Lakini, inawezekana hayo ni maoni ya zama zetu tuliosoma vitabu vya Sheikh Shaaban Robert na kujua uungwana ni nini.

Na labda watoto wa zama za mitandao wanakuja na fikira tofauti.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Utafiti unasema wanawake jasiri na wasio dhaifu na wenye kujiamini ndio utongoza wanaume,hapa unapata makabila ya wanawake wa kasikazini mfano wachagga n.k wachagga ni mama lao wakina Manka wanatongoza hao. pamoja na wanawake wa mkoa wa Tanga.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] umeandika kiueledi sana
One love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…