Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
free agent end of seasonWanapoteza muda tu wamuuze , Kibu ni mchezaji machachari ila sio mchezaji hatari.
Aende tufree agent end of season
wamekosa 2 billionAende tu
Offer Gani mnataka kuwaingiza Simba kingi ili wampe mkataba mpya, hizi habari atakua ameandika kibu mwenyewe, Kuna timu Gani eti itoe over 1M USD(zaidi ya 2.5B) kumsajili kibu huyu mwenye goli Moja msimu mzima??
Eti walimpe over 75M kibu Kila mwezi kwa uchezaji upi? Kibu angekua amepata ofa kama Hio angekua ameshapanda hata ungo kukimbilia huko, inshort hakuna habari hapa
Unaleta mada unakua mkali tena? Hujazoea kupingwa au?una hisi why kibu denis amekataa kusign. unakaza kichwa sana. ila huu ndo ukweli.
also please don't comment kama ukweli wako huna?? wewe ukweli wako upi? dumb 🚮
Unaleta mada unakua mkali tena? Hujazoea kupingwa au?
Wewe ndo umeleta taarifa hivyo ni jukumu lako kuleta source!!! Narudia tena, kibu hata akiondoka free agent hawezi kupata club callibre ya Simba, hata azam tu hawezi kwenda
Striker ana goal 1 msimu mzima khaaa
Subiri watakaokusupport waje, inaonekana hujui maana ya kupingwasio mkali. watu wasio na akili wanaonekana mapema. i dont have time for you. tuishie hapa.
Ataenda Ihefu au coastal union!!Unaleta mada unakua mkali tena? Hujazoea kupingwa au?
Wewe ndo umeleta taarifa hivyo ni jukumu lako kuleta source!!! Narudia tena, kibu hata akiondoka free agent hawezi kupata club callibre ya Simba, hata azam tu hawezi kwenda
Kawaida. MBONA UTO WALIMNUNUA GWEDE AMBAYE HAKUCHEZA OVER A SEASON ?Striker ana goal 1 msimu mzima khaaa
hizi sio story za jaba.Yaani simba ilimuuza chama mna mikison wakiwa kwenye ubora wao ndio washindwe kuikubali ofa ya kibu. Tunajua hizi mbinu za mawakala kuelekea kipindi cha wachezaji kumaliza mikataba au mwisho wa msimu. Hebu tutolee upuuzi wako hapa
loan. (mkopo)Kawaida. MBONA UTO WALIMNUNUA GWEDE AMBAYE HAKUCHEZA OVER A SEASON ?
Kibu usimchukulie poa sana. Ana nguvu na mbio, anakosa mbinu au akili za ufungaji. Kibu angezungukwa na wachezaji wafungaji wazuri angasababisha magoli mengi mno, maana kuufikisha mpira kwenye eneo la hatari si tatizo kwa kibu, tatizo la kibu ni akili ya ufungaji anapokuwa katika hilo eneo. Akipata kocha wa kumfundisha mbinu na akawa na akili ya kuzitumia atakuwa mshambuliaji hatari sababu ana nguvu, ana mbio.Offer Gani mnataka kuwaingiza Simba kingi ili wampe mkataba mpya, hizi habari atakua ameandika kibu mwenyewe, Kuna timu Gani eti itoe over 1M USD(zaidi ya 2.5B) kumsajili kibu huyu mwenye goli Moja msimu mzima??
Eti walimpe over 75M kibu Kila mwezi kwa uchezaji upi? Kibu angekua amepata ofa kama Hio angekua ameshapanda hata ungo kukimbilia huko, inshort hakuna habari hapa