Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

Kibu usimchukulie poa sana. Ana nguvu na mbio, anakosa mbinu au akili za ufungaji. Kibu angezungukwa na wachezaji wafungaji wazuri angasababisha magoli mengi mno, maana kuufikisha mpira kwenye eneo la hatari si tatizo kwa kibu, tatizo la kibu ni akili ya ufungaji anapokuwa katika hilo eneo. Akipata kocha wa kumfundisha mbinu na akawa na akili ya kuzitumia atakuwa mshambuliaji hatari sababu ana nguvu, ana mbio.
Kwa umri huo atafundishwa nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
una hisi why kibu denis amekataa kusign. unakaza kichwa sana. ila huu ndo ukweli.

also please don't comment kama ukweli wako huna?? wewe ukweli wako upi? dumb 🚮
Wewe ndo huwaga Mwasi mpumbavu kuliko wote nchini, huwezi kabisa kukubali kutokukubaliana kama fundi umeme. Li account lako lile ndo maana walilifunga. Kibu hakuna team inampa hio hela ya Billion 1, na mshahara wa 75M kwa mwezi, haipo na haitakuja kuwepo. Kama kaona hawezi kuendelea basi asepe tu. Simba watakuja wengine na watacheza zaidi ya huyo Kibu Deniss.
 
Offer Gani mnataka kuwaingiza Simba kingi ili wampe mkataba mpya, hizi habari atakua ameandika kibu mwenyewe, Kuna timu Gani eti itoe over 1M USD(zaidi ya 2.5B) kumsajili kibu huyu mwenye goli Moja msimu mzima??

Eti walimpe over 75M kibu Kila mwezi kwa uchezaji upi? Kibu angekua amepata ofa kama Hio angekua ameshapanda hata ungo kukimbilia huko, inshort hakuna habari hapa
Me mwenyewe nimeshangaa, bilioni 2 kwa ligi yetu uyo ni mchezaji wa hadhi ya mayele
 
Kibu usimchukulie poa sana. Ana nguvu na mbio, anakosa mbinu au akili za ufungaji. Kibu angezungukwa na wachezaji wafungaji wazuri angasababisha magoli mengi mno, maana kuufikisha mpira kwenye eneo la hatari si tatizo kwa kibu, tatizo la kibu ni akili ya ufungaji anapokuwa katika hilo eneo. Akipata kocha wa kumfundisha mbinu na akawa na akili ya kuzitumia atakuwa mshambuliaji hatari sababu ana nguvu, ana mbio.
Mkuu. Mungu akubariki.
 
I will be short

Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.

contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k usd to 1 m usd for kibu denis. simba wanatoa 500 million contract.

He is leaving for free. end of the season. wasteful opportunity for 1 - 2 billion from Simba.
anaenda azam for free
 
Offer Gani mnataka kuwaingiza Simba kingi ili wampe mkataba mpya, hizi habari atakua ameandika kibu mwenyewe, Kuna timu Gani eti itoe over 1M USD(zaidi ya 2.5B) kumsajili kibu huyu mwenye goli Moja msimu mzima??

Eti walimpe over 75M kibu Kila mwezi kwa uchezaji upi? Kibu angekua amepata ofa kama Hio angekua ameshapanda hata ungo kukimbilia huko, inshort hakuna habari hapa
wala usipoteze nguvu kibu anasaini azam
 
I will be short

Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.

contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k usd to 1 m usd for kibu denis. simba wanatoa 500 million contract.

He is leaving for free. end of the season. wasteful opportunity for 1 - 2 billion from Simba.
Kibu hawezi command fee hiyo huyo mwisho $50k.
 
Kibu usimchukulie poa sana. Ana nguvu na mbio, anakosa mbinu au akili za ufungaji. Kibu angezungukwa na wachezaji wafungaji wazuri angasababisha magoli mengi mno, maana kuufikisha mpira kwenye eneo la hatari si tatizo kwa kibu, tatizo la kibu ni akili ya ufungaji anapokuwa katika hilo eneo. Akipata kocha wa kumfundisha mbinu na akawa na akili ya kuzitumia atakuwa mshambuliaji hatari sababu ana nguvu, ana mbio.
Hapo alipofikia hawezi rekebishika, he is at 30+
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom