Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

Kibu ni striker mzuri angalia numbers zake alivokuwa Mbeya City
Hapo umbumbumbuni amekosa wa kumchezesha
Acha engineer amlete Yanga mtamkubali
Mbumbumbu walimkataa Nzengeli eti hana Rasta, wakamkataa Mudathir
 
Kibu usimchukulie poa sana. Ana nguvu na mbio, anakosa mbinu au akili za ufungaji. Kibu angezungukwa na wachezaji wafungaji wazuri angasababisha magoli mengi mno, maana kuufikisha mpira kwenye eneo la hatari si tatizo kwa kibu, tatizo la kibu ni akili ya ufungaji anapokuwa katika hilo eneo. Akipata kocha wa kumfundisha mbinu na akawa na akili ya kuzitumia atakuwa mshambuliaji hatari sababu ana nguvu, ana mbio.
Hapa ni kama umehitimisha kwamba hamna timu ya kutoa bilion 2 kwa Kibu.
 
Hapa ni kama umehitimisha kwamba hamna timu ya kutoa bilion 2 kwa Kibu.
B2 ni nyingi kwa mchezaji mmoja wa kiwango cha Kibu ila kwenye dunia ya soka lolote linawezekana na haitakuwa mara ya kwanza kwa mchezaji mwenye kiwango cha chini kuwa overated na kuuzwa bei juu kupitia mawakala. Sehemu ikishakuwa na maslahi binadamu anaweza tafuta namna yapatikane.
 
Aende tu. Simba ibadilike basi. Sisi tunataka vilaza tu wachezaji Wazuri hatuwataki.
 
I will be short

Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.

contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k usd to 1 m usd for kibu denis. simba wanatoa 500 million contract.

He is leaving for free. end of the season. wasteful opportunity for 1 - 2 billion from Simba.
Bora kuweka pin badala ya k
 
Kibu yupi mnamsemea? Huyo wa Simba hata 5k $ per month salary hakuna timu itamnunua, nasema kweli
 
Kibu inadhihirisha mengi yatasemwa ila ye anajua nini anafanya.
 
Back
Top Bottom