Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

Kibu ni striker mzuri angalia numbers zake alivokuwa Mbeya City
Hapo umbumbumbuni amekosa wa kumchezesha
Acha engineer amlete Yanga mtamkubali
Mbumbumbu walimkataa Nzengeli eti hana Rasta, wakamkataa Mudathir
 
Hapa ni kama umehitimisha kwamba hamna timu ya kutoa bilion 2 kwa Kibu.
 
Hapa ni kama umehitimisha kwamba hamna timu ya kutoa bilion 2 kwa Kibu.
B2 ni nyingi kwa mchezaji mmoja wa kiwango cha Kibu ila kwenye dunia ya soka lolote linawezekana na haitakuwa mara ya kwanza kwa mchezaji mwenye kiwango cha chini kuwa overated na kuuzwa bei juu kupitia mawakala. Sehemu ikishakuwa na maslahi binadamu anaweza tafuta namna yapatikane.
 
Aende tu. Simba ibadilike basi. Sisi tunataka vilaza tu wachezaji Wazuri hatuwataki.
 
Bora kuweka pin badala ya k
 
Kibu yupi mnamsemea? Huyo wa Simba hata 5k $ per month salary hakuna timu itamnunua, nasema kweli
 
Kibu inadhihirisha mengi yatasemwa ila ye anajua nini anafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…