Wewe ni half-caste wa wapi na wapi...

Hata mtu akikosea hamsemehi mpaka mjisikie. Na hamuwezi mkasema kama mtu asipojiongeza. Ila nawapenda sana wanaume wa kanda yenu. Na mnajua kuhandle mwanamke hadi ajione dunia yake jamani. Wakurya mnapenda bwana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusiana na ku handle yaani kumfanya mwanamke ajisikie yuko dunia nyingine kwa kupendwa tunajitahidi kwelikweli....

Kuna mchepuko wangu wa kinyaturu yaani anatamani nimfanye mke wa pili maana namjali sana.....

Ila ndio hivyo dini yangu hairuhusu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mtu akikosea hamsemehi mpaka mjisikie. Na hamuwezi mkasema kama mtu asipojiongeza. Ila nawapenda sana wanaume wa kanda yenu. Na mnajua kuhandle mwanamke hadi ajione dunia yake jamani. Wakurya mnapenda bwana..

Sent using Jamii Forums mobile app

umesema kweli wanajua ku handle wanawake,na wanapenda wanawake ..mara nyingi wanakua na michepuko...
 
Ex wanguvwa kikurya jamani abarikiwe yule kijana na nshamsemehe. Alinifanya nijione malkia haki hadi nikatamani na mimi kuwa mke wa pili baadae nikaona ntajitesa tu maana nampenda sana nikamuacha japo roho iliniuma kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mke wa pili ungependwa zaidi maana tuna kasumba mmoja ikitokea mwanaume wa kikurya kaoa mke wa pili mapenzi yote yanahamia kwa mke mdogo.....

Sasa hapo ungeanzisha ugomvi indirectly na Mke wa kwanza....

Nina wivu jamani. Suala la kujua tu niko Dar ye kila siki Terime analala na mwanamke ndo lilinishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wivu jamani. Suala la kujua tu niko Dar ye kila siki Terime analala na mwanamke ndo lilinishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh pole sana white....

Ila kama ulipangiwa kuolewa na mwanaume kutoka kanda maalamu na hakika utampata atakaye kupenda na kukuthamini 100%....

Ikitokea ukapata mchumba wa kikurya na mkataka kufunga ndoa nitaomba uni PM nitakuchangia kiasi fulani bure kabisa white .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…