theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kuhusiana na ku handle yaani kumfanya mwanamke ajisikie yuko dunia nyingine kwa kupendwa tunajitahidi kwelikweli....Hata mtu akikosea hamsemehi mpaka mjisikie. Na hamuwezi mkasema kama mtu asipojiongeza. Ila nawapenda sana wanaume wa kanda yenu. Na mnajua kuhandle mwanamke hadi ajione dunia yake jamani. Wakurya mnapenda bwana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mchepuko wangu wa kinyaturu yaani anatamani nimfanye mke wa pili maana namjali sana.....
Ila ndio hivyo dini yangu hairuhusu...
Sent using Jamii Forums mobile app