Huogopi kukatwa katwa mapanga once umemuudhi?[emoji15] [emoji15]Hata mtu akikosea hamsemehi mpaka mjisikie. Na hamuwezi mkasema kama mtu asipojiongeza. Ila nawapenda sana wanaume wa kanda yenu. Na mnajua kuhandle mwanamke hadi ajione dunia yake jamani. Wakurya mnapenda bwana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie mnajua kwelisiyo powa
hata wachaga tunajua kuhandle ,
yeah tunajuaaa
Mi nilikuwaga na mnyamwezi ajaaajaaah mkaka alioneshaga love sijawahi ipata mahali dunia hii!...sema mizinguo yangu tuu maskini!Ex wanguvwa kikurya jamani abarikiwe yule kijana na nshamsemehe. Alinifanya nijione malkia haki hadi nikatamani na mimi kuwa mke wa pili baadae nikaona ntajitesa tu maana nampenda sana nikamuacha japo roho iliniuma kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma ukiwa na ka rangi na kishundu kidogo wanachanganyikiwa hao jamani. Na wanapenda mbaya. Anaweza akakuhonga Mwanza Simiyu na Geita viwe vyako.Mi nilikuwaga na mnyamwezi ajaaajaaah mkaka alioneshaga love sijawahi ipata mahali dunia hii!...sema mizinguo yangu tuu maskini!
Mwenyezi Mungu amjaalie R huko aliko mambo yake yamnyokee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee maroho yao! Wana roho ngumu sana!
Sema wanawake ndo udhaifu wao.Aseee maroho yao! Wana roho ngumu sana!
Btw nilikuwa namjibu huyo niliyemquote kuwa ni ndugu yangu kwenye Irish na haya kasoro huo usukuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuwa na mchaga haaahaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimewashawahi japo ilikua ile ya kupotezeana muda. Wanapenda nao na kujali ndo usipimie.Sijawahi kuwa na mchaga haaahaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nipe experience?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh that nice!...naonaga mishe zao hela tuuNimewashawahi japo ilikua ile ya kupotezeana muda. Wanapenda nao na kujali ndo usipimie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akishazipata ni raha tupuu. Sema nao mwanamke mmoja hawawezi. Naadhani ni nature ya wanaume wote.
Sio nature bana kujiendekeza tuu..Akishazipata ni raha tupuu. Sema nao mwanamke mmoja hawawezi. Naadhani ni nature ya wanaume wote.
Sent using Jamii Forums mobile app