Kwenda mashineni hii ya juzi? Si tulikuwa tunavizia wakienda mtoni kuchota maji. Ikipita wiki hujamwona anastuliwa na kelele za bati lllilorushiwa jiweKama ulisubiria msichana atume mashineni akasage ndiyo umtongoze...ndugi yangu Asprin wewe ni mhenga hapa hupakwepi.
Wenzio tunayongoza huku tumelala kitandani.
Kama wewe uliwahi kufunga ndala ikikatika kwa kamba ya kitambaa aua katani, wewe ni Muhenga.Kama ulivaa ndala za bata zikakatika ukaweka mwimba kamba zisichomoke.
Wewe ni mhenga tena uliyeshiriki kutunga methali.
Kama wewe ulikuwa unamsimamisha msichana halafu ukaishiwa point, wewe ni muhengaKwenda mashineni hii ya juzi? Si tulikuwa tunavizia wakienda mtoni kuchota maji. Ikipita wiki hujamwona anastuliwa na kelele za bati lllilorushiwa jiwe
Kama wewe ulifunga suruali kwa mkanda wa tairi la baiskeli, wewe ni muhengaKama wewe ulivaa soksi ya pundamilia ikachanika kisigino ukaishona wewe ni mhenga.
Tena kwa muda huo unaifuata unaambiwa bado haijasafishwaKama wewe ulipigwa picha ukaisubiri kwenda kisafishwa kwa miezi mitatu ikaja imeungua ndugu yangu wewe ni mhenga.
Kama wewe ulikuwa unajipaka mafuta kula/ng'ombe/samli, wewe ni muhengaHahaha.
Kama wewe umetumia sabuni ya Komoa na mafuta ya Yolinda kaka wewe mhenga.
Acha kuvaa mlegezo kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha..
Bwana tena mapozi ya kwenye maua ya zahanati au shule.....
Kama umetumia sabuni ya kodrai wewe ni muhenga nanusuHahaha.
Kama wewe umetumia sabuni ya Komoa na mafuta ya Yolinda kaka wewe mhenga.
Acha kuvaa mlegezo kabisa.
Hahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya kupiga picha, mpiga picha anaenda kuitwa kijiji cha jirani unaendesha baiskeli ikiwa na tairi kipara, haina raba za pedeli, umevaa viatu vya matairi, haina breki, breki uikaba tairi la nyuma au mbele kwa mguu, kengele hamna unatumia mluzi..
Wewe ni muhenga uliyebobea..
Ukifika nyumbani kwa mpiga picha, unakuta hayupo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakati huo huku nyumbani watu wanaoga wavae nguo nzuri maalum kwa matukio maalum, tayari kwa kupigwa picha, Wewe ni Muhenga mwenye PhD ya Uhenga..