Wewe ni mhenga?

Kama umekunya kweny miguu ya mama wewe ni muhenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hizi kuna vifaa maalumu Muhenga mwenzangu
 
Kama umeambiwa naomba nanii ukalia ukaenda kumwambia mama... wewe ni kahenga haswa.
 

Na wale waliojifunza Kufanya Ngono kwa mara yao ya Kwanza kwa Hisani za Wafanyakazi wa Ndani ( House Maids ) miaka hiyo ya nyuma nao wanastahili Kuitwa Wahenga Mkuu au?
 
Kama ulienda kucheza ngoma usiku nyumbani kwa msichana baada ya tarehe ya kuolewa kutangazwa, wewe ni Muhenga
 
Na wale waliojifunza Kufanya Ngono kwa mara yao ya Kwanza kwa Hisani za Wafanyakazi wa Ndani ( House Maids ) miaka hiyo ya nyuma nao wanastahili Kuitwa Wahenga Mkuu au?
Wewe ni mhenga mkuu...ukiongezea wale waliokuwa wanadanganya watoto wa jirani wakacheze kwenye mchanga kisha wanawadanganya vitumbua vimeingia mchanga wawasaidie kufuta.

Hawa ni wahenga.
 
Kama ulienda kucheza ngoma usiku nyumbani kwa msichana baada ya tarehe ya kuolewa kutangazwa, wewe ni Muhenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama bado unapiga mawe juu ya bati ya nyumbani kwa binti kwa lengo la kumuita wewe ni muhenga nanusu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ulikua unatongozwa na kung'ata kucha au kuchezea jani la mti wewe ni muhenga mwenzangu
Kama umecheza mchezo wa rede bila chupi kitumbua kikaingia mchanga.

Wewe ni kahenga........mtafute mhenga Asprin akufute vumbi.
 
Kama ulirudisha chupa za soda dukani uku unalamba lamba wewe ni mhenga
Kama kwenye sherehe bado unaweka soda za rangi tofauti fanta na sprite kisha unapiga picha ili urembo utokee huku umekaa kwenye makochi yako yenye vitambaa vya kutarizi wewe ni mhenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…