Wewe ni mhenga?

Wewe ni mhenga?

Aisee basi ulikuwa una kwenda shule na hela nyingi ..cause nakumbuka That time tsh.5 ilikuwa ndio inapotea potea lakini ilikuwa unanunua baadhi ya mahitaji kwa kuanzia tsh.10 ....... Nakumbuka nusu ya sukari tulikuwa tuna nunua kwa tsh 100 ...Kg1 ya unga ilikuwa ni 200 na kuna wakati Kg1 ilikuwa Inashuka mpaka kufikia 180....
Simaanishi nimeitumia shuleni, yaani nilikuwa naitumia nyumbani nikiwa shule ya msingi
 
2001 !!! Mimi hiyo mia 2 ya mwinyi ambayo inapicha ya wavuvi nimeitumia mbona kabla hazija badilishwa ' Pali kuwa na 500 ya noti ambayo ina picha ya wa-mama wana vuna Pamba ..hahah ilikuwa ni kitambo kiasi chake ..... but wakati huo nilikuwa ni mdogo sana
Jero yenye picha ya karafuu ndio nimeitumia sana japo nilikuwa mdogo ila mia mbili ndio kidogo sana
 
Hahaaa hatari sana. .ule mchezo mpaka leo sijui kucheza. ... Kuna michezo ilinishinda sana mpaka leo licha ya kuzungukwa na watu walio kuwa wanaicheza. ... mmoja wapo ukiwa ni kucheza karata
Mdako sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] macho juu
 
Kama ulikuwa unawatuma watoto wadogo wakamuite msichana kwao, wewe ni muhenga.

Siku moja jamaa kawatuma watoto wawili wakubwa kidogo waende kumuita msichana kwao, baada ya kufika wakakutana na baba yake amekaa nje wakaishia kujifanya wamepoteza mbuzi na wanamtafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

🤣🤣🤣[emoji1426][emoji1426][emoji1426]🤣🤣🤣
 
Hiyo jero yenye picha ya wavuvi mimi sikuwahi kuitumia mkuu... unaikumbuka Tsh 15 ya coin ..... ?
Jero yenye picha ya wavuvi ndio nimeitumia sana japo nilikuwa mdogo ila mia mbili ndio kidogo sana
 
Kwenda mashineni hii ya juzi? Si tulikuwa tunavizia wakienda mtoni kuchota maji. Ikipita wiki hujamwona anastuliwa na kelele za bati lllilorushiwa jiwe

Wakienda kwenye kuni ndiyo mnamalizana huko, guest na lodge zilikuwa ni kwa wageni tuu!! Wasafiri ambao kweli hawana pa kulala
 
Hiyo jero yenye picha ya wavuvi mimi sikuwahi kuitumia mkuu... unaikumbuka Tsh 15 ya coin ..... ?
Nilikosea mkuu, nilimaanisha jero yenye Karafuu na wala sio pamba kama ulivyosema wewe.

15 ya coins sijawahi kuiona, ila nimeona 5, 10 na 20 tu
 
Kuna zile cents, 1,2 5, 10, 20, 50 dah Tumetoka mbali sana, na mimi ni muhenga miongoni mwa wahenga.
 
Kuna zile cents, 1,2 5, 10, 20, 50 dah Tumetoka mbali sana, na mimi ni muhenga miongoni mwa wahenga.
Tumetoka mbali sana
IMG_20190718_140219.jpeg
IMG_20190718_140135.jpeg
 
Back
Top Bottom