Simaanishi nimeitumia shuleni, yaani nilikuwa naitumia nyumbani nikiwa shule ya msingiAisee basi ulikuwa una kwenda shule na hela nyingi ..cause nakumbuka That time tsh.5 ilikuwa ndio inapotea potea lakini ilikuwa unanunua baadhi ya mahitaji kwa kuanzia tsh.10 ....... Nakumbuka nusu ya sukari tulikuwa tuna nunua kwa tsh 100 ...Kg1 ya unga ilikuwa ni 200 na kuna wakati Kg1 ilikuwa Inashuka mpaka kufikia 180....
Simaanishi nimeitumia shuleni, yaani nilikuwa naitumia nyumbani nikiwa shule ya msingi
Ugonjwa wangu kombolela..... Yaani mpaka leo natamani kucheza huo mchezoKioo Kioo alikivunja nani? ... ukuti ukuti ..yaani kama ulicheza michezo hiyo basi wewe muhenga mwenzetu tu
Mdako sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] macho juuKama ulicheza dama .kombolela .mdako .rede ya wote. .. Unakosaje kuwa muhenga sasa ' ?
Jero yenye picha ya karafuu ndio nimeitumia sana japo nilikuwa mdogo ila mia mbili ndio kidogo sana2001 !!! Mimi hiyo mia 2 ya mwinyi ambayo inapicha ya wavuvi nimeitumia mbona kabla hazija badilishwa ' Pali kuwa na 500 ya noti ambayo ina picha ya wa-mama wana vuna Pamba ..hahah ilikuwa ni kitambo kiasi chake ..... but wakati huo nilikuwa ni mdogo sana
Mdako sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] macho juu
Kama ulikuwa unawatuma watoto wadogo wakamuite msichana kwao, wewe ni muhenga.
Siku moja jamaa kawatuma watoto wawili wakubwa kidogo waende kumuita msichana kwao, baada ya kufika wakakutana na baba yake amekaa nje wakaishia kujifanya wamepoteza mbuzi na wanamtafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jero yenye picha ya wavuvi ndio nimeitumia sana japo nilikuwa mdogo ila mia mbili ndio kidogo sana
Ugonjwa wangu kombolela..... Yaani mpaka leo natamani kucheza huo mchezo
Kama uliwahi pia kutumia shilingi 10 ya noti wewe ni muhenga
Kwenda mashineni hii ya juzi? Si tulikuwa tunavizia wakienda mtoni kuchota maji. Ikipita wiki hujamwona anastuliwa na kelele za bati lllilorushiwa jiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikosea mkuu, nilimaanisha jero yenye Karafuu na wala sio pamba kama ulivyosema wewe.Hiyo jero yenye picha ya wavuvi mimi sikuwahi kuitumia mkuu... unaikumbuka Tsh 15 ya coin ..... ?
Vp 25 uliikuta?Nilikosea mkuu, nilimaanisha jero yenye Karafuu na wala sio pamba kama ulivyosema wewe.
15 ya coins sijawahi kuiona, ila nimeona 5, 10 na 20 tu
Huyu Mimi kabasa.......... Hiyo ishiri ya noti ilikuwa inanua soda.Kama ulitumia hizi hela wewe ni muhenga tena ya-weza kuwa ni class mate wa nyerere View attachment 1156370View attachment 1156371View attachment 1156373View attachment 1156374View attachment 1156375
HahahahaKama ukivaa chachacha wewe ni muhenga
Huyu Mimi kabasa.......... Hiyo ishiri ya noti ilikuwa inunua soda.
Tumetoka mbali sanaKuna zile cents, 1,2 5, 10, 20, 50 dah Tumetoka mbali sana, na mimi ni muhenga miongoni mwa wahenga.