Wewe ni mhenga?

Hehehehe mikebe ya kofa
 
Magauni ya spesheli yenye kofia na kibegi

Mabegi ya shule yenye nembo ya Nike Adidas Sports ABC Revlon..[emoji1787][emoji1787] alafu mabegi ya abc yalikua na mbwembwe kwenye kufungua na kufunga ukifungua yanatoa kamlio "taaaa" na usiombe bag liwe jipya hizo tatatataa zitawakoma rafiki zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…