HahahaKula ni neno pana, hujatanabaisha unapenda kula nini
Almost de same lakini hapo kwenye PORK mieer yakhe simoooMusic
Money
Internet
Meat(pork! and chicken please)
Pringles
Chief kuna mtu ana hobby ya kula au hobby ya kuangalia porno...?mtu unaweza ukawa na hobby ya pombe!!!!!!!Mwifwa....nina swali kwako.
Hii mada ulikuwa unaongelea kilevi. ....
Ulimaanisha addiction au Hobby?
Nimeuliza hivi sababu naona wengi wetu tunajibu vitu viwili...
Hobbies na Addictions.
Bila kusahau hobbies zinaweza kufika kwenye level ya kuitwa addiction.
Nielewavyo mimi ukiwa na hobby ni kwamba unapenda kufanya ile kitu na kinafanyika kwa kuzingatia taratibu/masharti zilizowekwa.Chief kuna mtu ana hobby ya kula au hobby ya kuangalia porno...?mtu unaweza ukawa na hobby ya pombe!!!!!!!
Hobby unazaliwa nayo?hobby inakuja badala ya kukutana na mazingira fulani?Nielewavyo mimi ukiwa na hobby ni kwamba unapenda kufanya ile kitu na kinafanyika kwa kuzingatia taratibu/masharti zilizowekwa.
Kula kunaweza kuwa hobby ndio....ila unapokuwa unakula bila kuzingatia taratibu za kiafya hapo inakuwa tatizo linalosemakana uko na addiction ya chakula.
Hobby ni kupenda kufanya kitu kwa kiasi na kwa kufurahia. ..ukiona hobby inakuletea kero na kusababisha matatizo ujue imebadilika kuwa addiction.
Hauzaliwi na Hobby...inakuja kutokana na mazingira yanayokuzunguka...hobby ni Kitu unafanya kujifurahisha pale unapokuwa uko na free time.Hobby unazaliwa nayo?hobby inakuja badala ya kukutana na mazingira fulani?
Ahsante mkuu..[emoji122][emoji122]Hauzaliwi na Hobby...inakuja kutokana na mazingira yanayokuzunguka...hobby ni Kitu unafanya kujifurahisha pale unapokuwa uko na free time.
AnytimeAhsante mkuu..[emoji122][emoji122]
AddictionMwifwa....nina swali kwako.
Hii mada ulikuwa unaongelea kilevi. ....
Ulimaanisha addiction au Hobby?
Nimeuliza hivi sababu naona wengi wetu tunajibu vitu viwili...
Hobbies na Addictions.
Bila kusahau hobbies zinaweza kufika kwenye level ya kuitwa addiction.
ShukranAddiction
Unazo sasa?Mi ulevi wangu pesa aisee acheni nyie nazipenda mpaka najionea wivu
Ndiyo nini hiyo mkuumbunye
Mi bhana kahawa naipenda sanaTuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
MakuuuNdiyo nini hiyo mkuu