Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Kusoma vitabu, kusoma review na kuwa na muendelezo wa kuandika reports za research ni lazima kwenye laptop hata usiku wa manane nikikosa usingizi naanza kazi.
Hakika hii ina ambatana na kazi yako. ...huna budi uwe "up to date"...
 
Nilianza taratibu hivyo hivyo....najitahidi kuacha kwa sasa.
Niko 1884
Mimi kuna kipindi niliacha kabisa kucheza mwaka mzima nimeanza tena last year december yani nimekuwa addicted!

Kuna simu nililetewa ilikuwa haisupport fb nikasema siwezi kuanza upya level ya 1 aiseeee hapana ndo nikaanza upya last year ila ningekuwa mbali sana
 
Na jinsi ya kupata 'life' kinyemela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…