Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyoHicho kitu kinapendwa asikudanganye mtu
Umefika level gani? ???My addiction
View attachment 689050
Hakika hii ina ambatana na kazi yako. ...huna budi uwe "up to date"...Kusoma vitabu, kusoma review na kuwa na muendelezo wa kuandika reports za research ni lazima kwenye laptop hata usiku wa manane nikikosa usingizi naanza kazi.
Ewaaaa na dudu tena hiyo sio ulevi bali ni utejaDudu
Ahahahahahah nilikukumbushaEwaaaa na dudu tena hiyo sio ulevi bali ni uteja
441 sio mbali hata hivoUmefika level gani? ???
Nilianza taratibu hivyo hivyo....najitahidi kuacha kwa sasa.441 sio mbali hata hivo
Hahaha hii Candy Crush achaa tu nipo level ya 317My addiction
View attachment 689050
Mi huyo chura tu kwenye avatar yako daah! Ni wewe huyo?Aiseeeeeee
Mkuu, mbona unaitumia avatar yangu vibaya!!?View attachment 689088 View attachment 689087 PESA PESA PESA
Mimi kuna kipindi niliacha kabisa kucheza mwaka mzima nimeanza tena last year december yani nimekuwa addicted!Nilianza taratibu hivyo hivyo....najitahidi kuacha kwa sasa.
Niko 1884
Yani mimi ningekuwa mbali sema tu kuna simu ilinizingua!!!Hahaha hii Candy Crush achaa tu nipo level ya 317
Picha za watu hizoMi huyo chura tu kwenye avatar yako daah! Ni wewe huyo?
Na jinsi ya kupata 'life' kinyemela?Mimi kuna kipindi niliacha kabisa kucheza mwaka mzima nimeanza tena last year december yani nimekuwa addicted!
Kuna simu nililetewa ilikuwa haisupport fb nikasema siwezi kuanza upya level ya 1 aiseeee hapana ndo nikaanza upya last year ila ningekuwa mbali sana
Wewe ndiyo umeitoa kwangu, kwani unajua hapo ni wapi?Mkuu, mbona unaitumia avatar yangu vibaya!!?
Knock yourself out!Mkuu, mbona unaitumia avatar yangu vibaya!!?
Wacha hizo hiyo ni avatar yangu au we huoni nimeanza kuitumia tangu mwaka juziView attachment 689801 View attachment 689800 View attachment 689800 View attachment 689798 View attachment 689791 View attachment 689791 View attachment 689789 View attachment 689788
Wewe ndiyo umeitoa kwangu, kwani unajua hapo ni wapi?