Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Papuchi yenye chura! Ile ambayo ikipita lazima ugeuke kushuhudia. Yaani hapo ndo furaha yangu moyoni mwangu huwa inakamilika.
 
Wacha hizo hiyo ni avatar yangu au we huoni nimeanza kuitumia tangu mwaka juzi
Sina muda na kubishana kwa ajili ya picha!
Tengeneza zako!
Bye bye!
Utajiju!
Uwongo
 
Aiseee bila katerero siku haiishi kwa unono unaostahili
 
Nilianza taratibu hivyo hivyo....najitahidi kuacha kwa sasa.
Niko 1884
Nipo 743, Yaan hadi alienifundisha nimemuacha mbali halafu mimi co mpenz wa games kabisa ila hii kitu imenikamata kwakweli.
 
Mie muziki naupenda kuusikiliza na kuucheza pia. Muziki wa nchi nyingi duniani ali mradi tu unavutia kuusikiliza na kuucheza.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…