Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Papuchi yenye chura! Ile ambayo ikipita lazima ugeuke kushuhudia. Yaani hapo ndo furaha yangu moyoni mwangu huwa inakamilika.
 
Wacha hizo hiyo ni avatar yangu au we huoni nimeanza kuitumia tangu mwaka juzi
Sina muda na kubishana kwa ajili ya picha!
Tengeneza zako!
Bye bye!
Utajiju!
Uwongo
 
Mie muziki naupenda kuusikiliza na kuucheza pia. Muziki wa nchi nyingi duniani ali mradi tu unavutia kuusikiliza na kuucheza.



Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.

Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)

2. JF.
 
Back
Top Bottom