Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaI mean no malice to nobody
View attachment 2903531
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaI mean no malice to nobody
View attachment 2903531
Ukiwa Mbeya Vals haifiki? 😂😂 au basi, tuko busy na Ash Wedhappy ash wed babe
bora mie niko zangu mbeya vijijini
Hahahahaha..Valentine's day iko so over hyped and overrated...
Hakuna kitu kinaitwa leo ndio siku ya watu kuoneshana upendo, kila siku upendo unatakiwa uwepo tu...
we unamuonesha wako kila siku 😂😂😂Valentine's day iko so over hyped and overrated...
Hakuna kitu kinaitwa leo ndio siku ya watu kuoneshana upendo, kila siku upendo unatakiwa uwepo tu...
haifiki huku 😂😂😂Ukiwa Mbeya Vals haifiki? 😂😂 au basi, tuko busy na Ash Wed
Inasikitisha sana 🤣😁Yaani miguberi..minungayembe nayo inataka valentine day....haya mambo mengine bhana
Leo ni spesho. Ni kilele… maadhimisho.. kumbukizi.. yan sijui niendelee 😂Valentine's day iko so over hyped and overrated...
Hakuna kitu kinaitwa leo ndio siku ya watu kuoneshana upendo, kila siku upendo unatakiwa uwepo tu...
Unawafundisha ujambazi,rafiki?Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu?
Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu mnaeendana nae na kupendana🥰lakini ukikutana na wale wa “babe I will call you in the next 5minutes” na asipige au simu iliğe charge ghafla,hakika mapenzi yatakuwa changamoto🙂
So siku ya leo kuna watu watalia😁maana simu simu za wapenzi wao zitaisha charge,zitadumbukia kwenye maji au vyovyote başı tu ilimradi shetani aharibu Amani kwenye mahusiano ,,kuna watakajiona wao ndio wenye dunia sasa wengine wote ni kama wana wa israel jagwani(dada usisahau p2 hata kama zimepigwa marufuku)(na wewe kaka usitembelee rim ok😁)
Kuna watu watapata presha leo😁usijali jaman ndio life.haloooo💃💃
Wacha nizungumze na wadada☺️kama jamaa alikukaushia kipindi chote hicho halafu leo anajitia kukumiss hahahaa…hakikisha unamnyoosha mawe ya kutosha hallelujah !! Maana siku ya leo ikiisha hatokutafuta tena😅.
leo ukiona kuna mjanja kalızwa basi ujue kuna mjinga kapendwa 😁
kama huu uzi utakukuta ukiwa single, 😁😁kwa heshima na taadhima,tafuta penzi lililolegea ujichomeke hakuna mtu asiye na mtu😁😁sijui mmenielewa jamani…😎mshindi atatangazwa kanisani👩❤️💋👨
Singoz wote tuko pamoja kama pair za viatu boat letu ni moja😁.
🐒🐒🐒
Hallelujah
Hahahahahahaha...tena inasikitisha sana ...kuna wadada kuomba zawadi ya valentine hawastahili kbsInasikitisha sana 🤣😁
Hahahahaha....Hii Pressure ya Valentines imeshinda ile ya Physics[emoji28]
Naunga mkono hoja ndeko na ngai ya mobaliHahahahahahaha...tena inasikitisha sana ...kuna wadada kuomba zawadi ya valentine hawastahili kbs
Leo ni spesho. Ni kilele… maadhimisho.. kumbukizi.. yan sijui niendelee 😂
we unamuonesha wako kila siku 😂😂😂
Hahahahahaha..kuna mambo mengi ya kufanya sio huu ujingaNaunga mkono hoja ndeko na ngai ya mobali