Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaI mean no malice to nobody
View attachment 2903531
Ukiwa Mbeya Vals haifiki? ππ au basi, tuko busy na Ash Wedhappy ash wed babe
bora mie niko zangu mbeya vijijini
Hahahahaha..Valentine's day iko so over hyped and overrated...
Hakuna kitu kinaitwa leo ndio siku ya watu kuoneshana upendo, kila siku upendo unatakiwa uwepo tu...
we unamuonesha wako kila siku πππValentine's day iko so over hyped and overrated...
Hakuna kitu kinaitwa leo ndio siku ya watu kuoneshana upendo, kila siku upendo unatakiwa uwepo tu...
haifiki huku πππUkiwa Mbeya Vals haifiki? ππ au basi, tuko busy na Ash Wed
Inasikitisha sana π€£πYaani miguberi..minungayembe nayo inataka valentine day....haya mambo mengine bhana
Leo ni spesho. Ni kileleβ¦ maadhimisho.. kumbukizi.. yan sijui niendelee πValentine's day iko so over hyped and overrated...
Hakuna kitu kinaitwa leo ndio siku ya watu kuoneshana upendo, kila siku upendo unatakiwa uwepo tu...
Unawafundisha ujambazi,rafiki?Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu?
Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu mnaeendana nae na kupendanaπ₯°lakini ukikutana na wale wa βbabe I will call you in the next 5minutesβ na asipige au simu iliΔe charge ghafla,hakika mapenzi yatakuwa changamotoπ
So siku ya leo kuna watu wataliaπmaana simu simu za wapenzi wao zitaisha charge,zitadumbukia kwenye maji au vyovyote baΕΔ± tu ilimradi shetani aharibu Amani kwenye mahusiano ,,kuna watakajiona wao ndio wenye dunia sasa wengine wote ni kama wana wa israel jagwani(dada usisahau p2 hata kama zimepigwa marufuku)(na wewe kaka usitembelee rim okπ)
Kuna watu watapata presha leoπusijali jaman ndio life.halooooππ
Wacha nizungumze na wadadaβΊοΈkama jamaa alikukaushia kipindi chote hicho halafu leo anajitia kukumiss hahahaaβ¦hakikisha unamnyoosha mawe ya kutosha hallelujah !! Maana siku ya leo ikiisha hatokutafuta tenaπ .
leo ukiona kuna mjanja kalΔ±zwa basi ujue kuna mjinga kapendwa π
kama huu uzi utakukuta ukiwa single, ππkwa heshima na taadhima,tafuta penzi lililolegea ujichomeke hakuna mtu asiye na mtuππsijui mmenielewa jamaniβ¦πmshindi atatangazwa kanisaniπ©ββ€οΈβπβπ¨
Singoz wote tuko pamoja kama pair za viatu boat letu ni mojaπ.
πππ
Hallelujah
Hahahahahahaha...tena inasikitisha sana ...kuna wadada kuomba zawadi ya valentine hawastahili kbsInasikitisha sana π€£π
Hahahahaha....Hii Pressure ya Valentines imeshinda ile ya Physics[emoji28]
Naunga mkono hoja ndeko na ngai ya mobaliHahahahahahaha...tena inasikitisha sana ...kuna wadada kuomba zawadi ya valentine hawastahili kbs
Leo ni spesho. Ni kileleβ¦ maadhimisho.. kumbukizi.. yan sijui niendelee π
we unamuonesha wako kila siku πππ
Hahahahahaha..kuna mambo mengi ya kufanya sio huu ujingaNaunga mkono hoja ndeko na ngai ya mobali