Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
Je sigara za kielektroniki na bidhaa nyingine zifananazo zina madhara?
Kuna aina mbalimbali za sigara za kielektroniki kwa kiingereza Electronic Nicotine Delivery Systems au (ENDS), zikiwa na kiwango mbalimbali cha kichangamsho aina ya Nicotine na moshi hatarishi.