Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anaejitambua,anajua baya na jema,yani umetoa ujinga kichwaniNiliwahi kufanyakazi kwenye kampuni flani ya nje moja ya nchi zile zilizopiga hatua kubwa kiteknolojia ktk hizo ofisi zao walitenga sehemu maalum kabisa ya kuvutia sigara na karibia maboss wote walikuwa wavuta sigara waume kwa wake na ni wasomi wabobezi, sasa sijajua ni wasomi wapi mtoa mada unaowazungumzia? au mimi ndiyo sijaelewa?
Siku hizi inaitwa PortsmanAliyeweka hii picha ya paketi ya sigara, alikuwa na maana gani kughushi maandishi ya jina halali la kibiashara la "SPORTSMAN"?
Wewe mbona ni msomi lkn unatembea na hirizi mfukoni? Usomi wako uko wapi?
Nyie waislam mnavuta kwanza ndio mnaingia ibadani.Kwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.
Sigara , pombe, mirungi, bangi nk ni haramu moja kwa moja.
Kumbe ndio maana wanavuta sana kabla ya kuingia kwenye ibadani..kumbe sio haramuuongo mtupu katika islam kuvuta sigara ni makruu kuvuta si dhambi wala hupati swawabu ukivuta
Mbona ilibadilishwa zamani sana nadhani wakati wa kugawanywa mashirika ya iloyokuwa jumuiya ya afrika mashariki.Walivyobadilisha Jina kutoka Sportsman kuwa Portsman ndio niliona ujinga nika quit.
Hawakubadili Jina tu.. Hata ladha ilibadilika ikawa fegi ya hovyo hovyo.. Sauti inakoroma sana asubuhi ukivuta hayo madude.. Plus ukiwa umepiga cognac dry bhas ni hatari tupu.
View attachment 2302457
Yap,Mbona ilibadilishwa zamani sana nadhani wakati wa kugawanywa mashirika ya iloyokuwa jumuiya ya afrika mashariki.
Weka ushahidi ,na ulishuhudia watu wangapi mpaka useme waislamu na waislamu wapo wangapi ?Kumbe ndio maana wanavuta sana kabla ya kuingia kwenye ibadani..kumbe sio haramu
Vijana wa kiislamu wanavuta sana sigara kubali ukatae. Leo ndio nimejua kumbe sio haramuWeka ushahidi ,na ulishuhudia watu wangapi mpaka useme waislamu na waislamu wapo wangapi ?
Usomi na kuvuta sigara ni vitu viwili tofauti.View attachment 2275423
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
![]()
Je sigara za kielektroniki na bidhaa nyingine zifananazo zina madhara?
Kuna aina mbalimbali za sigara za kielektroniki kwa kiingereza Electronic Nicotine Delivery Systems au (ENDS), zikiwa na kiwango mbalimbali cha kichangamsho aina ya Nicotine na moshi hatarishi.news.un.org
Ulianza aje, nini kilipelekea?Dah! Umenigusa Hapa nimetoka Job msosi tayari, nipo napata Embasy, Natamani Sana niache nikishiba tuu hamu ya Embasy.
Chakula na maji, hukupa uzima wa kuendelea na maisha, ndio vya msingi, sio makapi baada ya matumizi ya chakula.Umenifanya nikumbuke jamaa flani ktk stor stor
Ukila chakula unapata haja
Ukinywa maji unapata mkojo
Ukivuta sigara unapata nn?
View attachment 2275423
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
Haujatushawishi mkuu, Kila kitu kikizidi ni hatariView attachment 2275423
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
![]()
Je sigara za kielektroniki na bidhaa nyingine zifananazo zina madhara?
Kuna aina mbalimbali za sigara za kielektroniki kwa kiingereza Electronic Nicotine Delivery Systems au (ENDS), zikiwa na kiwango mbalimbali cha kichangamsho aina ya Nicotine na moshi hatarishi.news.un.org
Ila kusengenya, kulala huku ukiwa na chuki na majirani, wivu kwa walio na mafanikio, shirki,lugha chafu namengine mengi.Kwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.
Sigara , pombe, mirungi, bangi nk ni haramu moja kwa moja.