Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
[emoji120][emoji120]Asante kwa maarifaKwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.
Sigara , pombe, mirungi, bangi nk ni haramu moja kwa moja.