Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

Niliwahi kufanyakazi kwenye kampuni flani ya nje moja ya nchi zile zilizopiga hatua kubwa kiteknolojia ktk hizo ofisi zao walitenga sehemu maalum kabisa ya kuvutia sigara na karibia maboss wote walikuwa wavuta sigara waume kwa wake na ni wasomi wabobezi, sasa sijajua ni wasomi wapi mtoa mada unaowazungumzia? au mimi ndiyo sijaelewa?
Mtu anaejitambua,anajua baya na jema,yani umetoa ujinga kichwani
 
Kwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.

Sigara , pombe, mirungi, bangi nk ni haramu moja kwa moja.
Nyie waislam mnavuta kwanza ndio mnaingia ibadani.
 
Walivyobadilisha Jina kutoka Sportsman kuwa Portsman ndio niliona ujinga nika quit.

Hawakubadili Jina tu.. Hata ladha ilibadilika ikawa fegi ya hovyo hovyo.. Sauti inakoroma sana asubuhi ukivuta hayo madude.. Plus ukiwa umepiga cognac dry bhas ni hatari tupu.
JamiiForums-20619413.jpg
 
View attachment 2302457
Mbona ilibadilishwa zamani sana nadhani wakati wa kugawanywa mashirika ya iloyokuwa jumuiya ya afrika mashariki.
 
Wasomi wa kisasa wameachana na sigara, ni mwendo wa shisha🐒

Mbona ilibadilishwa zamani sana nadhani wakati wa kugawanywa mashirika ya iloyokuwa jumuiya ya afrika mashariki.
Yap,

Ni miaka 20+ Sasa toka wamebadili hilo jina la biashara.
 
View attachment 2275423

Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?

Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?

Usomi na kuvuta sigara ni vitu viwili tofauti.
Tafakari kijana.
 
Wavuta sigara wengi walianza kwa kuiga hasa kupitia muvi,basi wakiona jamaa linakunywa pombe na kuvuta sigara wakat huo huo wanaona ni raha sana

Sigara ni kujipiga kodi kimakusudi maana hizo mia mbili mbili hizo baada ya mwezi ni pesa ndefu

Wanaume tunapenda sana kujipiga kodi sana ndo maana Mwigulu ameona atuzidishie mikodi tu maana unakuta mwanaume ana mchepuko gharama za kuuhudumia kwa mwaka ni karibu mil.5+ bado pombe na masigara
 
Umenifanya nikumbuke jamaa flani ktk stor stor
Ukila chakula unapata haja
Ukinywa maji unapata mkojo
Ukivuta sigara unapata nn?
Chakula na maji, hukupa uzima wa kuendelea na maisha, ndio vya msingi, sio makapi baada ya matumizi ya chakula.
Sigara inakupa nini?
 
View attachment 2275423

Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?

Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?

View attachment 2275423

Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?

Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?

Haujatushawishi mkuu, Kila kitu kikizidi ni hatari
 
Umeona sigereti pekee? Kuna vingi wewe mwenyewe unafanya vya hatari tatizo umeona kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati una gogo jichoni mwako hulioni? Toa kwako kwanza halafu lawama iendelee.
 
Kwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.

Sigara , pombe, mirungi, bangi nk ni haramu moja kwa moja.
Ila kusengenya, kulala huku ukiwa na chuki na majirani, wivu kwa walio na mafanikio, shirki,lugha chafu namengine mengi.
 
Back
Top Bottom