Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Hata shisha piaFegi
Aliyeweka hii picha ya paketi ya sigara, alikuwa na maana gani kughushi maandishi ya jina halali la kibiashara la "SPORTSMAN"?View attachment 2275423
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi ww ?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
Je sigara za kielektroniki na bidhaa nyingine zifananazo zina madhara?
Kuna aina mbalimbali za sigara za kielektroniki kwa kiingereza Electronic Nicotine Delivery Systems au (ENDS), zikiwa na kiwango mbalimbali cha kichangamsho aina ya Nicotine na moshi hatarishi.news.un.org
Kwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.Hivi kuvuta Sigara Chanzo chake nini??
Je dini nazo zinasemaje??
na nna hakika asilimia ya watz 30% wanatumia kabisa
Uharamu wa sigara umekuja kwenye madhara yake.Mshua hakuna andiko la kiislam linalo sema bangi Ni haram
DohMshua hakuna andiko la kiislam linalo sema bangi Ni haram