Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
[emoji120][emoji120]Asante kwa maarifaKwa mujibu wa Uislamu ni haramu mtu kunidhuru na kuhatarisha afya yake kwa hiyo mtu akitumia vitu ambavyo vinaenda kudhuru na kuhatarisha afya yake moja kwa moja na kwa makusudi pasi na udhuru wa kisheria anakuwa ametenda dhambi.
Sigara , pombe, mirungi, bangi nk ni haramu moja kwa moja.
Mnyeti alimnyetisha.Yule jamaa kapotelea wapi!?
View attachment 2275423
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
Je sigara za kielektroniki na bidhaa nyingine zifananazo zina madhara?
Kuna aina mbalimbali za sigara za kielektroniki kwa kiingereza Electronic Nicotine Delivery Systems au (ENDS), zikiwa na kiwango mbalimbali cha kichangamsho aina ya Nicotine na moshi hatarishi.news.un.org
Hakuna madhara ya kiakili ila madhara ya kiafya ni makubwa sana.Kuna Wasomi wanavuta bangi na kichwani wapo gud Sana.
Pombe haina madhara kama utatumia kiasi,sigara,moshi wake unachoma mapafu.Unakumbuka sakata la Charles Kitwanga, jamaa alikuwa anajua kukata maji ila anaongea point kinoma
Kuna utamu gani kwenye mwili kutokana na Moshi wa Sigara mnaouvuta na kuumeza?Dah! Umenigusa Hapa nimetoka Job msosi tayari, nipo napata Embasy, Natamani Sana niache nikishiba tuu hamu ya Embasy.
Kwa hiyo mtume alivuta sigara?uongo mtupu katika islam kuvuta sigara ni makruu kuvuta si dhambi wala hupati swawabu ukivuta
Kwani ewe usiyevuta una faida gani, pia hii ni starehe kama zingine, wapi imeelezwa msomi asivute sigara, tena wavutaji wanachangia kodi ya nchi, endelea kupata juice ya miwa.View attachment 2275423
Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe?
Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara?
Je sigara za kielektroniki na bidhaa nyingine zifananazo zina madhara?
Kuna aina mbalimbali za sigara za kielektroniki kwa kiingereza Electronic Nicotine Delivery Systems au (ENDS), zikiwa na kiwango mbalimbali cha kichangamsho aina ya Nicotine na moshi hatarishi.news.un.org
Msomi avute sigara,asie soma nae avute sigara, tofauti iko wapi?Kwani ewe usiyevuta una faida gani, pia hii ni starehe kama zingine, wapi imeelezwa msomi asivute sigara, tena wavutaji wanachangia kodi ya nchi, endelea kupata juice ya miwa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Ndomana wnasema vuta kistaarabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakumbuka sakata la Charles Kitwanga, jamaa alikuwa anajua kukata maji ila anaongea point kinoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahDaah nakumbuka mbali sana!! zamani chiga niliiona Atari Sana na wanaovuta pia niliwaona watu wa ajabu Ila ndo Ivo same time stress zinatufanya tufanye tusivyotegemea kabisa kufanya.
Nakumbuka sigara ya Kwanza kutumia ilikuwa embassy click ila sasa ivi nimekuwa gari Moshi nawasha Kila ubalozi na asikwambie mtu huo mziki wa nyota ukitoka kupuliza unakuwa Kama umegonga wida lazima utembee na ukuta miksa kusikia aja kubwa
[emoji1787]nimekwepa feg na pombe, lakini kwenye uchi nachechemea
[emoji1787]Usomi ni kwenda shule kujaza makaratasi na kufaulu Sasa sijui inahusianaje na kuvuta sigara
Usitafute laana kwa nguvu