Wewe ni nani? Safari ya kujitambua

Kwa muktadha wa uelekeo yawezekana uko sahihi ila ni nini kilichokufanya ujue ya kwamba huyu analojibu la hilo swali na huyu Hana?
 
Kwa muktadha wa uelekeo yawezekana uko sahihi ila ni nini kilichokufanya ujue ya kwamba huyu analojibu la hilo swali na huyu Hana?
Swali nzuri sana, mtoa mada ameeleze suala la safari ya kujitambua. Hivyo nilisema wana jibu la hilo swali wametembea hiyo safari. Lakini kama nilivyosema wao kuniambia wana jibu haina maana yoyote kwangu kwa sababu hilo ni jibu lake. Kitu cha msingi ninachoweza kufanya ni kutembea hiyo safari pia ili nije na jibu langu mwenyewe. So kujibu swali lako ni kwamba sina uhakika na kile walichosema maana hayo wameyatambua woa.
 
Upo sahihi ukisema hayo ni yao coz swali limeenda moja kwa moja kwao... Ndio maana swali linasema wewe ni nini.

Then labda experience inaweza kujengwa kutokea hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…