mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Salam bosses! Mnajua kuna vitu vinafurahisha sana, tena sanaaa[emoji3]
Hivi nini maana ya Fogo? Fogo ni mwanaume mwenye fedha nyingi zilizopitiliza uwezo wa wastani wa kipato cha raia wengi wa nchi husika, ambaye pia ana elimu au maarifa ya kutosha. Sambamba na kuwakumbatia wahitaji.
Tuelewane vizuri nikisema fogo ni mtu mwenye hela haswa, yaani hela haswaaa, na sio za kusua sua, plus reliable sources of heavy income.
Fogo anaweza kuwa na machawa wake au asiwe nao.
Sasa kichekesho cha watu wengi hususani humu JF ni hiki[emoji116]
Mtu kila siku ana post on their social media kuwa anaishi maisha ya kifahari. Na hapa ni kweli wengine huwa wanaishi maisha hayo na hata hawaigizi, kiasi cha kuwabeza na kubeza hadhi na utafutaji wa WaTZ wenzao.
Kuna kauli zisizo nzuri hutolewa na hawa watu ambao sio mafogo(mnazifahamu) juu ya WaTZ wasio na maisha ya kifahari.
Fogo huwa hakubali kuona masikini anaonewa ktk nchi aliyopo. We kama masikini anaonewa mbele yako kwa kosa ambalo hakutenda, we ni mshamba tu mwenye vihela vya kubadilisha mboga na KOMA kujiita fogo.
Una post mafanikio fake IG n.k kwa lengo la kuwabeza wengine, we sio fogo ni mshamba tu uliyekulia Moshi huko ndani ndani na ukabahatika kwa neema tu kupata exposure na kubahatisha visenti vyako.
Unatumia hela zako kuwanunua maslay queen wa chuo na kuwaharibia maisha yao, we ni kuku tu na sio fogo. Na ka gari kako ka mkopo unakatisha dreams za dada zako, idiot!
Nyongeza:
Wewe sio fogo coz ukiumwa tu hata homa yenye gharama ndogo tu lets say 40M za matibabu, unauza viwanja, tugari twako na kupitisha bakuli kwa wale wale unaowabeza kila siku na kuwaita majina ya aibu.
Kifupi TZ hakuna mafogo wanaozidi 5(hapa wanasiasa na viongozi tu ndo nimewatoa, na sio wasanii). Wengi wana fake tu na njaa kali. Magonjwa ya hela ndogo tu ya soda kwa akina Snoop dogg wanatembeza mabakuli.
Habari njema kwa nyie mafogo koko wenye tabia tajwa ni hii:
Nitashauri utengenezwe utaratibu wa kulipa fedha zote mtakazochangiwa na mashirika na wananchi, haraka baada ya kupona, ili muone uchungu wa matusi yasiyo ya moja kwa moja mnayowaporomoshea kwenye page zenu.
Na mkishindwa kulipa mnapigwa penalt. Deni hili litafutika ikiwa tu mchangiwa atafariki on the spot.
Wewe sio fogo. Unawajua mafogo wewe?