mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa kunijuza hilo mkuu!Ukupaswa kumwaga hizo lawama ulizoorozesha Kwny huo Uzi wako[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa kunijuza hilo mkuu!Ukupaswa kumwaga hizo lawama ulizoorozesha Kwny huo Uzi wako[emoji4]
Hamna ulichokemea pale, umeonesha CHUKI yako ya wazi kabisa kwa waliofanikiwa.Sijafosi, nimekemea. Nimetupa jiwe gizani. Soma kwa makini.
[emoji4]shukran kwa kua mwelewa[emoji106]Ahsante kwa kunijuza hilo mkuu!
Maji ni afya na ni uhai pia, kunywa maji jamaa anguIli iweje?
Sawa, ni kweli nimetafsririka hivyo. Ila back ground yangu bado haitoi/haikupi majibu toshelezi katika hili. Sawa ni mimi tu nimefika chuo kikuu, ila huna uhakika kama tunaishi maisha mabovu! Pia huna uhakika km hao ndugu zangu wana njaa japo hawajavuka form 4. Kifupi ni kutosoma kwao, si umasikini mkuu!Hukutakiwa kulaumu watu kwa kutosaidia wengine, hakuna mtu anahustle kwa ajili ya kumnufaisha au kumsaidia mwingine.
Unapoleta excuse Kama hizo,
Lazima turudi Kwny background yako tujue tatizo liko wapi na tunalitatua vipi.
Ulivyotafsirika Ni kwamba,
Una manung'uniko na masononeko mengi moyoni kwa mafanikio ya Wenzio.
Yaani tunaita HUSDA, au kiroho Cha kwanini.
TATIZO LAKO LIKO HAPO MKUU[emoji4]
Kwa hiyo nimemlenga mtu gani special mkuu?Hamna ulichokemea pale, umeonesha CHUKI yako ya wazi kabisa kwa waliofanikiwa.
Wanaorusha just gizani hutumia lugha ya picha kufikisha ujumbe wao bila kumlenga mtu Wala kuonesha CHUKI.
Hahah the same to you!Maji ni afya na ni uhai pia, kunywa maji jamaa angu
Hatujui umemlenga mtu gani hasa, Maana sijawai sikia mtu kajiita fogo humu jf.Kwa hiyo nimemlenga mtu gani special mkuu?
Sikumlenga mtu. Ila niliandika haya baada ya kutafakari kwa kina kuhusu uhusiano wa waliopata neema ya kufanikiwa ikiwemo hawa wasanii wetu na wananchi wa kawaida.Hatujui umempenga mtu gani Maana sijawai sikia mtu kajiita fogo humu.
Kwa maelezo yako labda mwenzetu kidukulilo,
Ila sijawai sikia mtu humu Kaenda kwa kiduku Lilo kaomba msaada kanyimwa.
Kwaiyo sijajua ulimlenga Nani hasa
Post yako imekaa kimaskini Sana,Sawa, ni kweli nimetafsririka hivyo. Ila back ground yangu bado haitoi/haikupi majibu toshelezi katika hili. Sawa ni mimi tu nimefika chuo kikuu, ila huna uhakika kama tunaishi maisha mabovu! Pia huna uhakika km hao ndugu zangu wana njaa japo hawajavuka form 4. Kifupi ni kutosoma kwao, si umasikini mkuu!
Ulipaswa Sasa uweke specific kabisa ili tuchangie kwa Uhuru tukijua hii mada inawalenga watu wa Aina flan flani.Sikumlenga mtu. Ila niliandika haya baada ya kutafakari kwa kina kuhusu uhusiano wa waliopata neema ya kufanikiwa ikiwemo hawa wasanii wetu na wananchi wa kawaida.
Mifano ipo, suala la ugonjwa imekuwa km return way yao kwa jamii. Hii inaumiza. Kila mTZ mwenye akili timamu ni lazima aumie kwa hili. Ni picha inayohuzunisha...
So nikatumia lugha kali kudogo kuwasilisha hili. Hivyo tu mkuu.
Sawa upo sahihi, mtu anaweza kukusoma kupitia post yako, sikatai. Ila mimi sikuwahi kutaka kukopa kwa yeyote yule(namshukuru Mungu kwa hilo). Kama ni kukopa labda ikitokea nitakopa kwa taasisi maalum za kifedha ikiwemo banks and related ones, na si mtu tu kisa ana hela eti niombe mkopo. Kwangu no.!Post yako imekaa kimaskini Sana,
Afu Uzi wako inaonekana imeandikwa ktk mood ya masononenko na majuto Sana., Hivyo kuzaa jazba
Na inaonyesha jazba yako hii imekomaa baada ya kuukosa kila Mara msaada ule ulioutegemea kutoka kwa watu ulioamini kabisa wana uwezo wa kukusaidia.
Nowdays,
Mtu anaweza kukusoma Kupitia uandishi wako TU, achilia mbali iyo historia yako.
Numbisaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fogo
Hamna mkuu,🤣🤣🤣utani tuDuuh! Jazba za nini ndugu?