Wewe sio tajiri ila una hela

Wewe sio tajiri ila una hela

Unachopaswa kutambua mtoa mada, binadamu tumeumbiwa utashi tofauti.

[emoji117]Sio kila mtu ameumbiwa kutoa au kurudishana kwa jamii.

[emoji117]Sio kila mtu ameumbiwa karma, Kuna watu bado wanaishi Zama za mussa. Jino kwa jino.

[emoji117]Sio kila mtu anaishi kwa kuangalia attention ya watu.

Mfumo wa maisha umebadilika Sana,
WENGI WANAISHI WATAKAVYO, na SIO wewe UPENDAVYO.

Cha muhimu,
Sote tujifunze kuvumiliana madhaifu yetu[emoji4]
Hiki ndicho sahihi nilitegemea unishauri/uwashauri wahusika. Hapo sikupingi.
 
Hapa napinga, kutosoma kwa ndugu zangu hakuna uhusiano na uhitaji wangu wa msaada wa saikolojia. As long as mimi sijapitia hayo na nina elimu yangu hata kama ni ya kawaida tu mkuu, nashukuru mno kwa Mungu.
Hukutakiwa kulaumu watu kwa kutosaidia wengine, hakuna mtu anahustle kwa ajili ya kumnufaisha au kumsaidia mwingine.

Unapoleta excuse Kama hizo,
Lazima turudi Kwny background yako tujue tatizo liko wapi na tunalitatua vipi.

Ulivyotafsirika Ni kwamba,
Una manung'uniko na masononeko mengi moyoni kwa mafanikio ya Wenzio.

Yaani tunaita HUSDA, au kiroho Cha kwanini.

TATIZO LAKO LIKO HAPO MKUU[emoji4]
 
Back
Top Bottom