GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Geniuses wa JF wameshanielewa vizuri.Hebu tengeneza hii heading vizuri mkuu haieleweki una maanisha nn?
Kwa kutokuwa na Akili kama Wewe au?Genta umekurupuka
Wewe dogo tulia jipangeKwa kutokuwa na Akili kama Wewe au?
Anafuata nyayo za mtangulizi wake!RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo.
Chanzo: habarileo_tz
Kwangu Mimi hii ni Kazi ya ama Mkuu wa Wilaya au wa Mkoa na hata wala si ya Waziri au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais au hata Mkuu wa Majeshi.
Tukiwasema hatuwachukii tunawapenda.
Kwa hiyo na wewe unapoleta zile mada zako za kufikirika/za uongo/ za kipopoma za wachezaji na makocha wa timu pinzani kuhongwa na GSM/Yanga ili wafungwe, huku ukiwa siyo Takukuru au Polisi! Tukuweke kwenye kundi gani?RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo.
Chanzo: habarileo_tz
Kwangu Mimi hii ni Kazi ya ama Mkuu wa Wilaya au wa Mkoa na hata wala si ya Waziri au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais au hata Mkuu wa Majeshi.
Tukiwasema hatuwachukii tunawapenda.