Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni "Ulisikia wapi?" Siyo "Olisikia wapi?".
Hahaha. Unachekesha sana.Unafikiri hawajui? Wanajua sana kama ni ulisikia lkn wanajifanya Wazungu, kwa hiyo ,, u '' ili waitamke wanaandika ,,oo'' oolisikia, hao jamaa wajinga sana nilifika Mombasa huko Wakenya udongo mwekundu, wao wanaita dongo kundu, si unaona hata Hujambo wanasema jambo, yote hii ni kujifanya Wazungu, Kibera wanaita kibra, lkn cha kushangaza labda kuliko vyote, Wakenya wengi ni Wabantu hivyo kama anaweza kuongea kikikuyu hawezi kushindwa kusema udongo mwekundu, au hujambo badala ya jambo, au Mkikiuyu hawezi kushindwa kusoma ulisikia mpaka aandike oolisikia, ...
oooliskia wapi wakenya wengi ni wabantu 😎😎Unafikiri hawajui? Wanajua sana kama ni ulisikia lkn wanajifanya Wazungu, kwa hiyo ,, u '' ili waitamke wanaandika ,,oo'' oolisikia, hao jamaa wajinga sana nilifika Mombasa huko Wakenya udongo mwekundu, wao wanaita dongo kundu, si unaona hata Hujambo wanasema jambo, yote hii ni kujifanya Wazungu, Kibera wanaita kibra, lkn cha kushangaza labda kuliko vyote, Wakenya wengi ni Wabantu hivyo kama anaweza kuongea kikikuyu hawezi kushindwa kusema udongo mwekundu, au hujambo badala ya jambo, au Mkikiuyu hawezi kushindwa kusoma ulisikia mpaka aandike oolisikia
Hamitic ipo karibu na semitic pamoja na Nilotic ilivyo karibu na Cushitic.Lakini Wakenya siyo Germanic people pia, sasa iweje washindwe kusoma Kiafrika?
Hamitic ipo karibu na semitic pamoja na Nilotic ilivyo karibu na Cushitic.
Hahahahaha.
Wabantu wengi ni nyie wahutu watangayika.
Wakikuyu wamechanganya damu Sana na wa nilo hamitic kwahiyo hao siyo wabantu ni hybrid.
ni kama mwenyekiti wako wa chama anavyoongea kingereza.Huyo Mtangazaji anaongea kama mtoto anayejifunza Lugha ya Kiswahili anachefua tu.
Duh! Huyu naye aliliwa, nilijua ni jamaa wa kijani......ila Watz wamerudi nyuma miaka mingi sana, watakaa waandike kwenye vitabu vya historia namna gani waliharibu wakiona kwa macho yao wenyewe. Miaka ijayo mitano bila mtu wa kuhoji ubabe wa serikali ni jambo la hatari sana.
Nyie mnahoji na bado cartels zinawapigaDuh! Huyu naye aliliwa, nilijua ni jamaa wa kijani......ila Watz wamerudi nyuma miaka mingi sana, watakaa waandike kwenye vitabu vya historia namna gani waliharibu wakiona kwa macho yao wenyewe. Miaka ijayo mitano bila mtu wa kuhoji ubabe wa serikali ni jambo la hatari sana.
Jinsi mnavyoona msamiati wetu ni wa kijinga ndivyo tunavyoona msamiati wenu ni wa kijinga. Shida yenu hamuelewaki linguistics.Washenzi nq misamiati yao ovyo ovyo. Mbona watu wa malindi wale ndio wa bantu pure na wana misamiati pia ya kijinga jinga
Eti marehemu wanaita mwendazake ....sasa mwenda zake ndio upuuzi gani yaan wao wame pindua the dead one ...wakaona waite mwendazake ....hawa ndio wana chukua nafasi nq kwenda kuwafundisha watu kiswahil kibovu huko majuu
Wewe jamaa ni mshamba kupindukia. Yaani leo hii wewe mnyamwezi ndio unakashifu kiswahili cha wa 'Thenashara Taifa', koo kumi na mbili za waswahili(wamvita). Ambao ndio waliibuka na jina Dongo Kunduu, kumaanisha sehemu ambayo ina udongo mwekundu. Kwahivyo inamaanisha kwamba jina Nairobi linatumiwa vibaya pia? Maanake kwa kimaasai ni 'Enkare Nairobi', kumaanisha sehemu yenye maji baridi.Unafikiri hawajui? Wanajua sana kama ni ulisikia lkn wanajifanya Wazungu, kwa hiyo ,, u '' ili waitamke wanaandika ,,oo'' oolisikia, hao jamaa wajinga sana nilifika Mombasa huko Wakenya udongo mwekundu, wao wanaita dongo kundu, si unaona hata Hujambo wanasema jambo, yote hii ni kujifanya Wazungu, Kibera wanaita kibra, lkn cha kushangaza labda kuliko vyote, Wakenya wengi ni Wabantu hivyo kama anaweza kuongea kikikuyu hawezi kushindwa kusema udongo mwekundu, au hujambo badala ya jambo, au Mkikiuyu hawezi kushindwa kusoma ulisikia mpaka aandike oolisikia