Wewe unafikirije juu ya Abbas Tarimba. Unadhani alikuwa timamu kiasi gani alipotamka haya maneno?

Wewe unafikirije juu ya Abbas Tarimba. Unadhani alikuwa timamu kiasi gani alipotamka haya maneno?

Maisha ya kulamba nyayo za watawala yanaendelea....
 
View attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?

Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?

Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?

Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?

Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!

Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?

➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
Kwa watu wengi ndani ya ccm Rais ni zaidi ya mungu. Wanamsifu na kumtukuza kupitiliza
 
Tarimba anq ugua kichaa toka kafiwa na watoto wake wakubwa wawili kwa ugonjwa wa zika. Ni mwehu akili haipo sawa.
Ni kweli ugonjwa au ndio ilikuwa kafara maana hawa wenzetu hawashindwi kukutanguliza ili yao yaende.
 
View attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?

Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?

Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?

Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?

Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!

Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?

➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
Huyu cha mikorogo kama Nyoshi mkongomani Abas Tarimba ni mbunge wa hovyo kabsa Akili zake ni zile za kujua kusoma na kuandika tu ni mbunge asiyegaa kuwakilisha wananchi bali wavuta Bangi wenzake na wezi wenzake huko kwenye kubeti
 
mpuuzi sana huyo mzee, ampeleke mtoto wake basi akatobolewe macho maana abdul ndo mtoto pekee aliyezaliwa kwa uchungu hapa tz, wa kwake si aliwaokota.

mjinga, punguani, kenge, shenz waahed mmoja.

cocastic nisaidie kuongeza mengne pls sana
Mwambie ukweli huyu mpumbavu mbunge ni taahira sana! Rubbish!
 
Ndio agenda CCM kujitoa akili ili uonekane mzalendo ,watu badala ya kutetea raia wanamtetea rais.
Bunge la ccm ndilo Bunge ibirisi ndilo Bunge la kishetani, wabunge wapumbavu balaa, eti wanatetea Bishungwa na Polisiccm wafanye vitendo haramu vya kishetani wabake waganda wapige wageni ambao ni wapenzi watizamaji wasio na silaha, kesi za uongo wanajua kuzitengeneza lakini hawajui kuwa Uongo una mwisho na jumuia za kimataifa wanataka kujua ushenzi wao sasa
 
Tunawalaumu bure mbwa wakati Mfuga mbwa amekaa kimya na hatuwezi kumgusa!
 
Mwambie ukweli huyu mpumbavu mbunge ni taahira sana! Rubbish!
Barabara za kinondoni zimejaa mashimo hakuna maendeleo yeye anaenda bungeni kutetea watu wauawe badala ya maendeleo, Tarimba huenda anavuta Bangi siyo bure
 
Back
Top Bottom