KINONDONI STAND UP...View attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?
Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?
Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?
Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?
Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!
Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?
➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
Tarimba hawezi kuwa mbunge tena hilo ndilo bunge lake la mwisho damu za marehemu zitamwandama mpaka ajute kutetea uovuHakuna mtu mbishi na kiburi kama yule anayekaribia kutapeliwa
Huyo ni Msomi humfikii kwa Elimu +PesaHuyu cha mikorogo kama Nyoshi mkongomani Abas Tarimba ni mbunge wa hovyo kabsa Akili zake ni zile za kujua kusoma na kuandika tu ni mbunge asiyegaa kuwakilisha wananchi bali wavuta Bangi wenzake na wezi wenzake huko kwenye kubeti
Wewe ukimuangalia mh.usoni,hugundui chochote? wewe angalia hizo sura mbili hapo ulinganishe utagundua kituView attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?
Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?
Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?
Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?
Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!
Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?
➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
Msameheni. Huyo akili yake iko kwenye makamari tu ,anajipendekeza apate kupitishwa kwenye mchujo wa kugombea ubunge.mpuuzi sana huyo mzee, ampeleke mtoto wake basi akatobolewe macho maana abdul ndo mtoto pekee aliyezaliwa kwa uchungu hapa tz, wa kwake si aliwaokota.
mjinga, punguani, kenge, shenz waahed mmoja.
cocastic nisaidie kuongeza mengne pls sana
Gwajiboi katumia mifano hai maana kamtaja mtoto wa Waziri Mkuu mpaka mtoto wake Jordan akamtolea mfano alichoacha ni kumtaja mtoto wa Makamu wa Rais tu ndio yupo Innocent ila mtoto wa Bibi Miwane anaetajwatajwa hayupo Innocent ikiwa Mama yake anachekelea watu kupotezwa ndio anaulizwa je siku akisikia Mwanae kapotezwa atalia mlio gani? Ule ule wanaolia wengine au yeye ataongezea kidogo na ule alioutoa akiwa leba?Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?
Huyo jamaa nilijua kichwani ana kitu, ila nimegundua ni kiazi kweli kweliView attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?
Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?
Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?
Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?
Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!
Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?
➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
ChoiceVariableKabla ya anguko kuja, hutangulia kiburi.
Abas Tarimba ndiyo mbunge mjinga kupita wote ccmHuyu mtu ni mjinga sana.
Tarimba ni mwiziHuyu mzee wa mikeka duanz