Wewe unafikirije juu ya Abbas Tarimba. Unadhani alikuwa timamu kiasi gani alipotamka haya maneno?

Hii Nchi bora tu watu hawakuruhusiwa kumiliki bunduki, huu ujinga ungeondoka na wengi.
 
Abasi Tarimba ni ibrisi ni kajitu ka hovyo sana na sasa katajua mwisho wake umewadia
 
Kinondoni ina mbunge mjingaa hivyo
Yaani Namshangaa Watu wa kinondoni Walivyompa Ubunge huyu Jamaa Tarimba Abas, kichwani Empty kabisa huyu, Shida ya Watu wa Daresallam ukiwapa Kofia na khanga Basi Ubunge Umeuchukua, Angalia Jimbo la Ukonga, kule banana To kivule -Msongola Barabara Mbovu Mashimo, Lakini yule KILAZA Jerry Slaa Hawa Maccm wanampa Tena Ubunge, Dar Ovyoo Sana tu
 
Wewe elewa tuu kwamba Dunia hailo fair na inatoa privilege tofauti kulingana na status za watu.
Though we're living in this world, we don't belong to it. We are the sons and daughters of a living God. And our God of heaven is always very fair...!

The correct answer is this: Abbas Tarimba doesn't belong to the Living God we know. He belong to the devil as it is justified by his actions..
Ukielewa Hilo huwezi shangaa hayo ya Tarimba ,hata wewe sio exceptional wa kujihesabia Haki.
I am very exceptional because I am not like him. Jesus Christ through his death and ressurection has made me perfect and rightious before heavenly God...

We are completely perfect in Jesus Christ's name...

AMEEEN..🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Ni maoni Yako,kwani wewe ndio ulimuumba huyo Tarimba ?
 
Ni maoni Yako
Haya ndugu ChoiceVariable si tu maonI yangu, bali hizi ni facts of life...

You can take or throw them away
kwani wewe ndio ulimuumba huyo Tarimba ?
Aliyemuumba, ndiye aliyeniumba...

And remember, God created all of us equal..

The god of this world can change someone's God's image to devilish..

That is what happen to some of us, specific Tarimba and others...
 
Huyu mbunge alichemka sana, konondoni ina mbunge wa hovyo sana
 
Wewe elewa tuu kwamba Dunia hailo fair na inatoa privilege tofauti kulingana na status za watu.

Ukielewa Hilo huwezi shangaa hayo ya Tarimba ,hata wewe sio exceptional wa kujihesabia Haki.
Hii haipaswi kutamkwa hadharani na mtu anayejielewa, ni mjinga tu anayefanya hivyo.
Kwamba mtoto wa sa100 ni wa thamani zaidi kuliko watz wengine woote??.
Ktk uhai binadam wote ni sawa ndio maana sote tunazikwa ardhini, hakuna utofauti!!.
 
Hadhi tofauti na wako hata kama hutaki ndio ukweli huo 😂😂
 
Haya ndugu ChoiceVariable si tu maonI yangu, bali hizi ni facts of life...

You can take or throw them away

Aliyemuumba, ndiye aliyeniumba...

And remember, God created all of us equal..

The god of this world can change someone's God's image to devilish..

That is what happen to some of us, specific Tarimba and others...
Lakini akawapa status tofauti na ndipo utofauti wenu ulipo 😂😂
 
Lissu huwa anasema Tume FEKI inazaa Wabunge FEKI ndio hawaa ndio maana tunapigania TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Back
Top Bottom