Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

20200316_101759.jpg

Sijui hata ni brand gani

20200225_091312.jpg

Hii Casio I've had it for almost 8 years now ila inadunda tu haijachoka kivilee . Inasema na tarehe
 
Hahah unaeza uziwa bati la 25k kwa elfu 80
😆 😆 😆 😆 Kuna mwana aliniambia oya kuna Patek Phillipe 80k. Nikamwambia hata zawadi sitaki.
Mambo mengine ni kama mtu akuambie kuna Toyota Crown inauzwa laki 9.
 
😆 😆 😆 😆 Kuna mwana aliniambia oya kuna Patek Phillipe 80k. Nikamwambia hata zawadi sitaki.
Mambo mengine ni kama mtu akuambie kuna Toyota Crown inauzwa laki 9.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yoyote isiyozidi 50$. Kwanza muda, calendar, reminder, email, camera,clockwatch, timer, trading forex and crypto, chats, fitness, kubet vyote na zaidi navipata kwenye simu.
 
Kuna lisaa anavaa may weza linauzwa billions of money ndo natupiaga mkono wa kushoto mkono wa kulia naweka rolex ya million 45.
 
Tissot Gentleman powermatic
Fossil na Fossil
Nataka nivute Orient RA-AK03
 
Back
Top Bottom