Hahah hata humu kuna mdau nime mwambia kukuta rolex cheap ni zile used na zenyewe zina range kwny Tsh.6mil mkuu.
Zile saa ma-tycoon ndio wanajua thamani zake, kuna wengine ukiwa unapiga nae deal akakuona na ile saa tu tayari umeshajiongezea credit na anajua huyu tutaongea nae michongo ya maana inshort kwny b'ness meeting inaongeza credit.
Ila zina disadvantage zake pia,kuna mwana alishaishi US kwa miaka kadhaa then akawa amerudi bongo, ikatokea akapata interview na bank flani hivi ya nje iliyoko hapa bongo ktk interview kuna interviewer kwny panel ni mzungu akaiona saa ya mshkaji akamwambia hio ni rolex model flani sio jamaa akajibu ndio,akaambiwa hio used ina range from $7,000-$9,000 akasema yes.
Then Interview ikaendelea fresh na mwishowe akaambiwa you look expensive and we aren't sure if we can afford you but we'll keep in touch ikawa ndio Mazima mpk leo hawakuwahi kumtafuta tena hahah.
Ila huku Uswazi hakuna anayejua thamani ya rolex org.