Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Natumia LSH inauzwa sh. 5,000/=. Napenda sana saa ila sijawahi kununua za bei ghali.
Kwangu saa ni ya kuangalizia muda tu
images (14).jpeg
 
Nimecheck pote nimegundua Tz kuna upungufu mkubwa wa choices za saa. Kama jf jukwaa la wajanja wanajifunga viangalia muda tu! Wawekezaj angazia fursa hii. Saa ni brand, muundo na functionality.
 
Acheni upumbavu....vaeni saa
Saa ni Audemar piguet na rich millie tu
Zingine hizo ni vionesha muda
 
Back
Top Bottom