Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Ni Rolex Submariner Boss nadhani hapo kila kitu kinaonekana.... Kuhusu Bei siwezi kujua Zaidi.. Ila Niletewa zawadi.
Rolex ya bei ya chini kwa mujibu wa taarifa za mitandaoni ni usd 4000, takribani milioni nane na ushee...
 
Zipo Rolex cheaper zaidi ya hapo, ishu ni kutofautisha og na fake, maana siku hizi naskia hata mtu uende Dubai unaweza ambulia Rolex fake kama ni mgeni wa hayo mambo
 
Mimi saa huwa singalii brand, na kuna nyingine ninazo wala sijui zinaitwaje, tena sina yoyote ya brand kubwa.
Ninaangalia muonekano wake, uhitaji na gharama, isizidi 40k kwa hizi za kawaida na isizidi 150k kwa smart watch, maisha yenyewe magumu haya.
 
Kama model ipi, then tukacheki bei katika official site ya Rolex mkuu?
 
Mimi saa huwa singalii brand, na kuna nyingine ninazo wala sijui zinaitwaje, tena sina yoyote ya brand kubwa.
Ninaangalia muonekano wake, uhitaji na gharama, isizidi 40k kwa hizi za kawaida na isizidi 150k kwa smart watch, maisha yenyewe magumu haya.
Ni kweli, brand kama hizo Rolex,Hublot,Audemar,"Rich Millie", Patek Phelippe watu wanapigwa, hizo saa hakuna za bei za laki laki mkuu, kama Rolex labda used ndio upate kwa dollar elfu 2, lakini Rolex mpya genuine kutoka kwao Rolex huwezi pata kwa laki 5,6,7,8......
Kama hiyo "Rich Millie" inafikapaka billions za kibongo😃😃😃.
 
Fuatisha hii usije kua kituko

Matching-Your-Watch-2.jpg
 
🤣🤣 kuna ule usemi kuwa usipokuwa nà hela unaona watu kwenye matumizi yao kama wanachezea pesa.....naona usemi unaambatana nami kwa kasi.....haa...
 
Zipo Rolex cheaper zaidi ya hapo, ishu ni kutofautisha og na fake, maana siku hizi naskia hata mtu uende Dubai unaweza ambulia Rolex fake kama ni mgeni wa hayo mambo
Rolex mi naangaliaga material tu, nikiona mabati sinunui! Zile OG zetu za kariakoo ni zenye material ambayo ni stainless steel, ukishika mkanda tu unai feel saa mkononi. wanauza kati ya 150k-200k
 
Back
Top Bottom