Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Pale mtu anapomsema mtu gari lake bovu wakati hata baiskeli Hana hapo ndio utajua roho za watu weusi napitaaaaa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni Rolex Submariner Boss nadhani hapo kila kitu kinaonekana.... Kuhusu Bei siwezi kujua Zaidi.. Ila Niletewa zawadi.

Ungeweka na part number yake ndio inakua rahisi zaidi kuitambua.

Ila jua tu mkuu Rolex submariner ya pesa ndogo kabisaa inaanzia kuuzwa kwa bei ya $5000 yaani kama Million 11 na ushee za kitanzania.

So kama mtu alikupa zawadi ya saa yenye thamani ya pesa hio mthamini sana.
 
Part No. Ndiyo ipi hiyo Mkuu.. Ni ile inayokuwa Pembeni.. Au ile iliyopo kwenye Mkanda..
Na kuhusu Kumheshimu aliyenipa hii Saa.. namheshimu sana.. siyo saa tu.. ni vingi amenipa na Amefanya Vikubwa vya Thamani kwangu... Kuna wakati tunagombana.. Ila kwa kuwa kila mtu anafahamu umuhimu wa Mwenzake.. Tunajishusha na Maisha yanaendelea kawaida..
 
Ngoja niwape presha wapenda saa wenzangu....

Angalieni bei hizi

Screenshot_20191007-121425.jpeg
Screenshot_20191007-121442.jpeg
Screenshot_20191007-121456.jpeg
Screenshot_20191007-121529.jpeg
Screenshot_20191007-121600.jpeg
Screenshot_20191007-121628.jpeg
Screenshot_20191007-121650.jpeg
Screenshot_20191007-121719.jpeg
Screenshot_20191007-121750.jpeg
Screenshot_20191007-121923.jpeg
Screenshot_20191007-121939.jpeg
Screenshot_20191007-122005.jpeg
 
7279d64482244239f2f308cd2db84865.jpg

nimo humoooo ila huo mkwaju lazma niutafutee... Cassio edifice... Simple and elegant.

b4fbda5309cbccb6590934edcbed5f2e.jpg
Mkuu labda nikuulize, zaidi ya kuangalia mda, hizo namba zingine kwenye hiyo saa, mfano 180,240, 25,30,35 etc zinatumika kufanyia nini?
 
Part No. Ndiyo ipi hiyo Mkuu.. Ni ile inayokuwa Pembeni.. Au ile iliyopo kwenye Mkanda..
Na kuhusu Kumheshimu aliyenipa hii Saa.. namheshimu sana.. siyo saa tu.. ni vingi amenipa na Amefanya Vikubwa vya Thamani kwangu... Kuna wakati tunagombana.. Ila kwa kuwa kila mtu anafahamu umuhimu wa Mwenzake.. Tunajishusha na Maisha yanaendelea kawaida..

Hio safi sana mkuu.,all the best.

Ni ile iliyopo pale kwny ile sehemu ya mikanda ya saa.
 
Sisi kina Kiduku Lilo tunaoendesha Range Rover na Ford Ranger zetu tunavaa saa aina nne tu:
1. Rolex
2. Rado
3. Tag Heuer
4. Hublot

Casio ni calculator, Seiko ni toy ya watoto na Quartz ni alarm.
 
swatch tach meter black leather...mswizi mwenyewe ndio mnyamwezi nipo humo.
 
Huawei Honor Band 5
 
Attachments

  • IMG_20190912_151607.jpg
    IMG_20190912_151607.jpg
    111.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom