Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Mimi napendelea MAKONYEZA YENYE TAA

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahah unaeza uziwa bati la 25k kwa elfu 80
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Kuna mwana aliniambia oya kuna Patek Phillipe 80k. Nikamwambia hata zawadi sitaki.
Mambo mengine ni kama mtu akuambie kuna Toyota Crown inauzwa laki 9.
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Kuna mwana aliniambia oya kuna Patek Phillipe 80k. Nikamwambia hata zawadi sitaki.
Mambo mengine ni kama mtu akuambie kuna Toyota Crown inauzwa laki 9.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yoyote isiyozidi 50$. Kwanza muda, calendar, reminder, email, camera,clockwatch, timer, trading forex and crypto, chats, fitness, kubet vyote na zaidi navipata kwenye simu.
 
Kuna lisaa anavaa may weza linauzwa billions of money ndo natupiaga mkono wa kushoto mkono wa kulia naweka rolex ya million 45.
 
Tissot Gentleman powermatic
Fossil na Fossil
Nataka nivute Orient RA-AK03
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…