mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
Yuko jamaa mmoja anaziletaga from UKNimeipenda, umenunua wapi hii mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko jamaa mmoja anaziletaga from UKNimeipenda, umenunua wapi hii mkuu?
AhahahahaaPolice baby
Hivi hii mada inatuhusu na tunaotumia chronometers....?
DW-Daniel Wellington
Sio yeye huyo... Picha ya model wa kampuni inayouza hiyo saa.mbona una vinyweleo sana? mkono wako upo very romantic !!!!!!!!
Ahahahaha... Mie wyne rooney na ipo nyingine nimeagiza po pogback.... AibuuuLouis Hamilton...saa kali sana!!!
Reading time in different scenarios and accuracy....Nini tofauti mkuu?
Hivi kuna Saa aina ya Rolex ambazo bei yake ni chini ya Tsh. 4,000,000?
Unatumiamo??!!Msukuma utamjua tu kiswahili chakeJumapili nikienda church natupiamohii.
![]()
Sio msukuma, watu wa Mara ndio wako hivyo, natupiamo, nakujako, nipeko ndio zao.Unatumiamo??!!Msukuma utamjua tu kiswahili chake