Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nakuombea kwa mungu akupe maisha mema & mafanikio.

Ila usisahau Ku - hustle
Bila hivyo huwezi kupata kile unachohitaji katika maisha.
Just hustle hard
Kila kitu kinawezakana mbona
Ni maamuzi tu,
Thanks
 
Nilivaa sana Rolex japo nilikuwa nanunuliwa na mzee akitoka safari zake huko...nikaanza kumuibia Casio zake naenda punguza mkanda navaa hadi nimekuwa mkubwa saa zangu ni hizo tu...lakini mwaka juzi nikakutana na aina ingine ya saa nikaipenda sana na hadi leo hii naiavaa...inaitwa RADO
 
1.Mi navaa rolex oyster perpetual iwe gold au silver and gold, kama za 2 pac.

2.Casio sheen, data bank, edifice.
 
1b6b968cf2fab1b0d668eef11ee5cd79.jpg


Sijui ni kupendelea au ndiyo niliyonayo...either case, napenda kuivaa kuliko zingine nilizonazo.
 
PATEK PHILIPPE (Geneve) OG
 

Attachments

  • 1478375321188.jpg
    1478375321188.jpg
    54.1 KB · Views: 177
Back
Top Bottom