DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,214
- 711
Hongera. May be na mm nitafikia huko one dayMm huwa navaa
Rolex cuban link gold watch
Yenye thamani milioni 2. Za kitanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera. May be na mm nitafikia huko one dayMm huwa navaa
Rolex cuban link gold watch
Yenye thamani milioni 2. Za kitanzania.
Nimeipenda, umenunua wapi hii mkuu?EverSwiss
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hongera. May be na mm nitafikia huko one day
Thanks[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nakuombea kwa mungu akupe maisha mema & mafanikio.
Ila usisahau Ku - hustle
Bila hivyo huwezi kupata kile unachohitaji katika maisha.
Just hustle hard
Kila kitu kinawezakana mbona
Ni maamuzi tu,
nicheki kama una laki 3Wadau hivi, saa za casio data bank zimepotelea wapi? Nimemaliza maduka
Zipo clones grade 1 za laki na hamsini. Na fake za hio clone ndio 25k mpaka 30kHivi kuna Saa aina ya Rolex ambazo bei yake ni chini ya Tsh. 4,000,000?
hapo iko sehemu gan sasa?View attachment 421732
Hii ndio saa yangu, ya urithi imenunuliwa 1992 mpaka ninayo, Seiko 5 automatic hapa hata unipe dola 1000 sikupi.. [emoji3][emoji16][emoji16]
hongeraMm huwa navaa
Rolex cuban link gold watch
Yenye thamani milioni 2. Za kitanzania.